21/05/2026
Faida za Majani ya Chai Asilia ☕🌿
Majani ya chai asilia ni kinywaji chenye harufu nzuri na ladha ya kipekee kinachotengenezwa kwa mchanganyiko wa viungo vya asili vyenye virutubisho muhimu kwa mwili.
👉VIUNGO VILIVYOMO
Majani ya chai
Tangawizi
Mdalasini
Karafuu
Iliki
Pilipili manga
👉Virutubisho Vilivyomo
Antioxidants
Polyphenols
Flavonoids
Fiber kiasi kidogo
Mafuta asilia ya viungo
Madini lishe mbalimbali
Virutubisho vinavyosaidia kinga ya mwili
👉Madini yaliyomo
Chuma (Iron)
Calcium
Magnesium
Potassium
Zinc
Phosphorus
Manganese
👉Vitamini Ilivyomo
Vitamin C
Vitamin A
Vitamin B1
Vitamin B2
Vitamin B6
Vitamin E
👉Faida zake
>Husaidia kuongeza nguvu mwilini
>Huchangia kuimarisha kinga ya mwili
>Husaidia mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula
>Husaidia mwili kuwa na uchangamfu
>Hupunguza uchovu na usingizi
>Husaidia kuupa mwili joto
>Huchangia afya nzuri ya mwili kwa ujumla
>Husaidia kupunguza msongo wa mawazo
>Hutoa harufu nzuri na ladha ya kuvutia wakati wa kunywa chai
🤗🤗Inafaa kwa familia nzima🤗🤗
📍 Tunapatikana: Ilemi, Mbeya Tanzania
📞 Simu/WhatsApp: 0719132966
📱 Mitandao ya kijamii: Facebook, Instagram, YouTube & Threads — Meshack M Shibanda Official
“Chai asilia yenye viungo vya asili, ladha tamu na virutubisho muhimu kwa afya yako kila siku. Inafaa kwa familia nzima.” ☕🌿
Meshaki M Shibanda official
Meshack M Shibanda
Meshack Shibanda
Asteria Kasembe
Ileje Kwetu