Rev. Sam Nkonina

Rev. Sam Nkonina Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rev. Sam Nkonina, Legal, Kileleshwa.

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Eliza John, Isaac Kotoke, Isabella Mwanz...
31/03/2026

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Eliza John, Isaac Kotoke, Isabella Mwanzia, Mashen Solomon, Sharon Kadot, John Wambua, Pst Ev Joshua Noah, Katoo Olekure, Jossly Warui, Sarah Sarahii

31/03/2026

I pray tonight for God to expose & overturn every demonic trap that enemy had set against you- you will prevail and not fail! Get ready IJN- you will not stumble!

Siku mpya imeanza, tunakushukuru Mungu kwa kutuamsha salama, tubariki katika kazi zetu tufanyazo ziwe zenye baraka na ma...
24/03/2026

Siku mpya imeanza, tunakushukuru Mungu kwa kutuamsha salama, tubariki katika kazi zetu tufanyazo ziwe zenye baraka na mafanikio mema.Mungu akuinulie watu sahihi watakaokuvusha kwenye changamoto unayoipitia. 🙏 Kajiado TV Loise Somoina

Mbeba KUSUDI la MUNGU, huwa hasubiriikutiwa MOYO kwani kile ambacho anakiona ndaniyake tayari kinamtia MOYO. USIFE MOYO....
17/02/2026

Mbeba KUSUDI la MUNGU, huwa hasubirii
kutiwa MOYO kwani kile ambacho anakiona ndani
yake tayari kinamtia MOYO.

USIFE MOYO.🙏
Reverent Sam Nkonina AIC MT ZION Isinet Kijäňã Yâ Kaśīśí Ben Lankoi Ke AIC Tumaini Youth-Naivasha

I announce to someone, it’s almost time to celebrate! God is taking what the enemy meant for evil and turning it for goo...
13/02/2026

I announce to someone, it’s almost time to celebrate! God is taking what the enemy meant for evil and turning it for good.

When you see your next blessing, you’ll know God has moved for you!!
Come and receive your miracle 🙏 Reverent Sam Nkonina ISINETI NI YETU

13/02/2026

Psalms 66: vs 20
Praise be to God, who has not rejected my prayer or withheld his love from me!

09/02/2026

I got over 1,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

09/02/2026

Mungu anatabia ya kuanzia pale ulipo tumia kila mbinu hadi ukaamua kukata tamaa... Usichoke, endelea kuamini na kumngojea Mungu 🙏.

Kuna Wakati Uwezo Wako na Juhudi Zako ki binadamu unahisi kabisa zinafika mwisho, Basi ndo wakati sahihi mwenyezi Mungu ...
04/02/2026

Kuna Wakati Uwezo Wako na Juhudi Zako ki binadamu unahisi kabisa zinafika mwisho,

Basi ndo wakati sahihi mwenyezi Mungu kuvikwa utukufu wake.

Ukiona Mambo yanakuwa Sana Magumu upande wako Mkabidhi Mungu akupiganie.

Mungu Kwanza Katika Kila kitu.

Good evening 🙏
Reverent Sam Nkonina Kijäňã Yâ Kaśīśí Ben Lankoi Ke Kajiado TV AIC MT ZION Isinet Mercy Fred Pst Ev Joshua Noah ISINET NDIO HOMETOWN Gabriel Muthenya

Nakutabiria, Mwezi wa February tunayopokea usiku huu, Njia zako za kimapato zinaenda kufunguliwa katika Jina la Yesu. Am...
31/01/2026

Nakutabiria, Mwezi wa February tunayopokea usiku huu, Njia zako za kimapato zinaenda kufunguliwa katika Jina la Yesu. Amen.
Reverent Sam Nkonina Kijäňã Yâ Kaśīśí AIC MT ZION Isinet Ben Lankoi Ke Kajiado TV

Kuchelewa si kukataliwa, Kukwama si mwisho wa safari.Makosa hayamzuii Mungu kukurejesha.Evening.
28/01/2026

Kuchelewa si kukataliwa, Kukwama si mwisho wa safari.
Makosa hayamzuii Mungu kukurejesha.
Evening.

28/01/2026

Unastahili kuabudiwa Bwana Kwa uzuri wako na uaminifu wako

Address

Kileleshwa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rev. Sam Nkonina posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rev. Sam Nkonina:

Share

Category