28/09/2026
Nani anajua hawa wezi sugu?
Aki hawa vijana wamesumbua Sana watu wa kasarani, Kwanza pale hunters Kwa stage kuna siku waliibia mzungu alfu wakaenda wakishangilia, hizo area za njiru na kangundo road hawa wameibia watu Sana.
Hawa Ni wale wezi wa kusnatch masimu na motor bike .
Leo wameshikwa