NFK Trade and Technology Solutions Co. Ltd

NFK Trade and Technology Solutions Co. Ltd It is a business based institution formed on 2.07.2012 to provide legal services specifically on labour laws to employees and employers.

It is a business based institution formed formed on 2.07.2012 to provide legal services specifically on labour laws to employees and employers.

My dear Holyfaith, wherever life's journey leads you, I hope you alwsys find safety and strength. May your adventures br...
05/06/2024

My dear Holyfaith, wherever life's journey leads you, I hope you alwsys find safety and strength. May your adventures bring you courage, your challenges bringcyou resilience, and your accomplishments bring you joy and happiness. Remember, wherever you go or what you do, you hold a cherished place in my heart. Happy Birthday My Granddaughter.

06/04/2024

Hivi ilikuwaje referee asiwe na ile senssor ya mkononi ya kudetect goli lililovuka mstari? Au ndo mpango wa Boss .

30/03/2024

Poleni sana wana Simba, kwakuwa kumfunga Farao kumeshindikana tuendelee na mfungo wa Kwaresma na Ramadhan tu!

02/12/2023

Hongereni wananchi; Yanga SC, point moja si haba. Sema kule Algeria tulizingua, pira tunalipiga.

22/11/2023

Hawa Morocco ni wepesi sana. Kwao tutawapiga k**a ngoma ya shule.

14/07/2023

DP Worl or Deep World

13/07/2023

Watawala walipokiri makosa yao walofanya wakati wa utawala wao yamkini tuliwasamehe hata k**a hawakutuomba msamaha, Je, mna uhakika wananchi watakaokuwepo wakati wenu wa kuomba msamaha watawasamehe? Tujifunze kwa yalompata wa .Watawala walipokiri makosa yao walofanya wakati wa utawala wao yamkini tuliwasamehe hata k**a hawakutuomba msamaha, Je, mna uhakika wananchi watakaokuwepo wakati wenu wa kuomba msamaha watawasamehe? Tujifunze kwa yalompata wa .

13/07/2023

Tuna mambo k**a Kagoda, Escrow, Mauaji Zanzibar 2001 n.k, watawala walikiri mwishowe kuwa walidanganywa nao wakafanya waliyofanya. Hii ni sababu tosha ya kuwasikiliza wananchi, serikali isikaze shingo. Tanzania ni yetu sote.

13/07/2023

Hivi karibuni tumeona marais wastaafu wakiandika vitabu vikuuubwa kuelezea namna walivyofanya makosa, huku wakiwaaminisha wananchi kuwa walikuwa sahihi. Kwahiyo, watu wanapokosoa kuhusu uwekezaji wa tusiwaone k**a wahaini, tuwaone k**a watu wenye jicho la tahadhari.

13/07/2023

Hii sababu kwamba Kuna watu wanahujumu bandari ndo maana Deep World anakuja inashangaza. K**a Serikali inayosimamia bandari kwa sasa imeshindwa kudhibiti ubadhirifu wa bandari, imekuja na mbinu gni ya kuwadhibiti DP World wasihujumu au kufanya ubadhirifu. Au tunasubiri Mheshimiwa Rais atuandikie Kitabu cha kutuomba msamaha?

We depend on each other.
09/07/2023

We depend on each other.

29/10/2020

Hello people

Address

Mwanza
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NFK Trade and Technology Solutions Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share