LFM Estate Agency Limited

LFM Estate Agency Limited Real estate cleaning activities household goods, landscape care and maintenance management consult activities

21/10/2022
31/03/2022

Karibu LFM ESTATE AGENCY LIMITED

kwa huduma za kikazi kwa mikoa yote TANZANIA .K**a unaitaji mfanya kazi anae tambulika na mwenye weledi wa kazi mwenye kuweza kulea familia katika misingi ya weledi maadili na nidhamu ya kazi na utendaji wa kazi. kwa viwango bora

Au k**a unaitji kazi ya ujuzi fani taaluma au zisizo na ujuzi piga simu au fika ofini ukiwa na taarifa za ujuzi au taaluma yako au uitaji wa kazi yako

Kazi mbalimbali
kazi za ndani kazi za maofisini kazi za viwandani maka mpuni taasisi mashirikakazi za hotel nk.

kumbuka kampuni inazingatia ubora wa huduma kwa kukupa mfanya kazi mwenye weledi na uwezo wa kufanya kazi husika
.una weza kutembelea ofisi zetu zilizopo DAR ES SALAAM KINONDONI MWANANYAMA A KARUBU NA KITUO CHA POLISI.
piga simu +255685913535whatssap +255685913535

TANGAZO LA KAZI YA HOUSEMAID JIJINI DAR ES SALAAM.Wanahitaji Wasaidizi wa kazi za ndani Jijini DAR es salaam Na Mikoani ...
21/12/2021

TANGAZO LA KAZI YA HOUSEMAID JIJINI DAR ES SALAAM.
Wanahitaji Wasaidizi wa kazi za ndani Jijini DAR es salaam Na Mikoani Katika Maeneo Yafuatayo;
1. MASAKI . 150,000/=
πŸ“ Familia watu 4. Baba, mama na watoto wawili.
πŸ“ Mshahara 150,000/=
πŸ“ KAZI kukaa huko huko.
2 DODOMA . 80,000/=
πŸ“ Familia watu wa 4. Baba, mama na watoto wawili.
πŸ“ Mshahara 80,000/=
πŸ“ KAZI kukaa Huko
3. ARUSHA. 100,000/=
πŸ“ Familia watu wa tano hakuna mtoto mdogo.
πŸ“ Mshahara 100,000
πŸ“ KAZI kukaa huko huko
4.MIKOCHENI . 100,000/=
πŸ“ Familia watu wa tatu . Baba, mama na mtoto mmoja.
πŸ“ KAZI kukaa huko huko
πŸ“ Mshahara 100,000/=
VIGEZO
πŸ“Umri kuanzia miaka 18-40
πŸ“ Awe Mchapakazi mwenye nidhamu
πŸ“ Apende watoto Kwa familia zenye Watoto
Mwisho WA kutuma maombi tarehe 31/12/2021
Tuma maombi KUPITIA
πŸ‘‰πŸ‘‰ [email protected]
Au
0685 913 535. 0715610297

LFM Estate Agency Limited Ina karibisha wa dada wanaoitaji kufanya kazi za ndani kwa mawasiliano zaidi fika ofisini kwet...
21/12/2021

LFM Estate Agency Limited Ina karibisha wa dada wanaoitaji kufanya kazi za ndani kwa mawasiliano zaidi fika ofisini kwetu Ccm Mwinyimkuu au tupigie namba 0685913535 0715610297 au 0656673120 Ahsante .... !!

Contact us if you need domestic workers, housemaids who are honest and hard at work. Thank you. !!!
14/12/2021

Contact us if you need domestic workers, housemaids who are honest and hard at work. Thank you. !!!

Welcome LFM Estate Agency Limited for best housemaid and other estate activity contact us .... 0685913535
13/12/2021

Welcome LFM Estate Agency Limited for best housemaid and other estate activity contact us .... 0685913535

Address

Mwananyama Ccm Road Mwinjuma
Mwananyamala
14108

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LFM Estate Agency Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category