sheria ya ajira na mahusiano kazini

sheria ya ajira na mahusiano kazini Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from sheria ya ajira na mahusiano kazini, Labor & Employment Lawyer, Mtwara.

31/07/2023

MASAA YA KUFANYA KAZI KWA WATUMISHI
Sheria inaelekeza Wafanyakazi waliojiriwa kufanya kazi masaa Tisa kwa siku ikiwemo saa moja ya mapumziko au wengi hujulikana k**a lunch break.Aidha endapo mfanyakazi atazidisha muda wa kazi zaid ya saa Tisa anastahili kulipwa overtime au muda wa ziada.
Kwa mujibu wa sheria no 6 ya mwaka 2004 muda,wa saa ziada usizidi masaa matatu kwa siku na atafanya kazi kwa makubaliano na mwajiri wake.
Ikumbukwe kuwa endapo utafanyakazi ya masaa ya ziada zaidi ya matatu ujue kuwa hutastahiki ujira.
Aidha sheria hiyo namba 6 inaelekeza pia kuwa mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi saa 45 kwa muda wa siku tano kwa wiki ikiwa ni masaa tisa,kila siku.siku nyingine tutaangazia Haki ya likizo na sina ya likizo kwa mfanyakazi kwa ushauri wa kisheria piga namba 0714624747

27/07/2023

TARATIBU ZA,KUVUNJA MKATABA WA AJIRA
mkataba wa ajira,k**a ilivyo mikataba mingine inayotambulika kisheria ,inaweza kusitishwa kwa namna mbakimbali.njia ambazo mwajiri anaweza kuzitumia kuvunja mkataba na mwajiriwa ni pamoja na.
1.kumwachisha N**i mwajiriwa kwa kutoka taarifa,(notisi).
2.mwajiriwa kuamua kuacha kazi kwa kutoa taarifa (notisi) ya saa 24 au mwezi mmoja.
3.kuacha kazi kwa kustaafu
4.ajira inaweza kukoma kwa,kifo au ugonjwa.
5,kuachishwa kazi kwa utovu wa nidhamu kazini
6.kupunguzwa kazi

21/07/2023

Siku kadhaa zilizopita tulijifunza juu ya aina ya mikataba ya ajira,leo nitafafanua au kutoa uchambuzi mikataba,hiyo.1 Mkataba wa kudumu wa ajira maana yake mfanyakazi atakuwa kazini kwa muda mrefu hadi pale atakapoamua kuacha mwenyewe au kuachishwa au hadi atapostafu aidha kwa hiari au kwa mujibu wa sheria,akiwa na miaka 60,au hadi umauti utakapomkuta.
2.mkataba wa muda maalum ni kwamba mfanyakazi atafanyakazi kuanzia kipindi cha miezi 12 na ambapo mwajiri anaweza,kumuongezea Mara mkataba wa awali utakapofikia mwisho au kutoongezewa .mkataba wa muda maalum unaweza kuanzia nwaka mmoja na kuendelea.
3.mkataba wa kazi maalum mfano wake k**a utakwenda gereji kutengeneza gari lako Mara baada matengenezo ya gari kukamilika na mteja kulipia pesa na mkataba unaishia hapo au mnapoingia makubaliano ya ujenzi wa nyumba fundi anapokamilisha kazi hiyo na kulipwa ujira wake hapo mkataba utakuwa umeisha wa kazi maalum.katika toleo lijalo tutaangaliw taratibu za kuvunja mkataba wa ajira

Address

Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when sheria ya ajira na mahusiano kazini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to sheria ya ajira na mahusiano kazini:

Share