IdrisaTv online

IdrisaTv online Pata habari motomoto zikiwemo za elimu, michezo ,burudani na kisiasa pamoja na historia za watu mashuhuri hapa duniani. taratibu ndio mwendo

Habari ndugu watazamaji wa Idrisatv online,Samahani kwa kutokuwa hewani kwa mda sasa, lakini hivi karibuni tutarudi hewa...
29/07/2022

Habari ndugu watazamaji wa Idrisatv online,

Samahani kwa kutokuwa hewani kwa mda sasa, lakini hivi karibuni tutarudi hewani tena kwa kasi kubwa

01/12/2019

You have to work in rural areas

Kwa wale wapenzi wa singeli, hii hapa singeli mpya kabisa kutoka kwa Dulla Boy Chaf Ft Razameloudy Tz ngoma inaitwa  .. ...
15/10/2018

Kwa wale wapenzi wa singeli, hii hapa singeli mpya kabisa kutoka kwa Dulla Boy Chaf Ft Razameloudy Tz ngoma inaitwa .. Usisahau kusubscribe, like na kucomment .

Bonyeza hapa👇👇👇

Ni wasanii kutoka Masasi Mtwara ..enjoy a good music

Kauli mbiu yetu ni "Habari ni haki yako"Cc: Idrisa Nurudini, Humphrey Van Morise Makavely
06/08/2018

Kauli mbiu yetu ni "Habari ni haki yako"
Cc: Idrisa Nurudini, Humphrey Van Morise Makavely

06/08/2018

IdrisaTv online
Itarudi hivi punde kwa Habari kemkem . Tunaomba radhi kwa kimya kilichojitokeza ,hii yote ilisababishwa na uwekaji mpya wa vifaa vya kuendeshea matangazo.

Usisahau kushare na kulike video zetu pia usisahau kusubscribe

Cc: Idrisa Nurudini, Humphrey Van Morise Makavely

MTWARA; Maonyesho ya ngoma za asili Bonyeza hapa chini kuangaliahttps://youtu.be/KlzxanUXJfQUsisahau kusubscribe na kush...
24/02/2018

MTWARA; Maonyesho ya ngoma za asili
Bonyeza hapa chini kuangalia

https://youtu.be/KlzxanUXJfQ

Usisahau kusubscribe na kushare

Cc: Idrisa Nurudini

Maajabu ya dunia huko nchini Korea.. Bonyeza hiyo link ujionee maajabu ya dunia huko nchini 👇👇👇Cc: Idrisa Nurudini
17/01/2018

Maajabu ya dunia huko nchini Korea..
Bonyeza hiyo link ujionee maajabu ya dunia huko nchini 👇👇👇
Cc: Idrisa Nurudini

Ni huko nchini Korea

Maneno kumi ambayo yatarudisha imani yako ya kujituma katika kipindi hiki kigumu. Tazama video mzima kwa kubonyeza hapo ...
12/01/2018

Maneno kumi ambayo yatarudisha imani yako ya kujituma katika kipindi hiki kigumu.
Tazama video mzima kwa kubonyeza hapo chini 👇👇👇👇
Cc: Idrisa Nurudini

Aliyaongea mtangazaji wa clouds media ndugu Harisi kapiga, mwaka jana Usisahau ku subscribe na kushare

Babu seya awaomba Watanzania msaada. Tazama video mzima kwa kubonyeza hapo chini 👇👇👇Cc: Idrisa Nurudini Ukashizzle De Cl...
12/01/2018

Babu seya awaomba Watanzania msaada. Tazama video mzima kwa kubonyeza hapo chini 👇👇👇
Cc: Idrisa Nurudini Ukashizzle De Classic Tz Humphrey Van Morise Makavely

Aliyasema hayo pale alipotembelewa gerezani mwaka Jana.

Address

Maendeleo
Masasi

Opening Hours

Monday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Tuesday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Wednesday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Thursday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Friday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Saturday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Sunday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00

Telephone

+255676311925

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IdrisaTv online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to IdrisaTv online:

Share