MESHA BRAND

MESHA BRAND Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MESHA BRAND, Legal, meshackfredymwakosya7@gmail. com, Kyela.

19/10/2025
13/03/2025

HUWA TUNASIKIA SANA MTU NA MPENZI WAKE KWAMAANA MWANAMKE NA MWANAUME NAOMBA MINISAIDIE
KATI YA HAO NANI MTUMWANAMKE NA NANI MWANAUME?

Katika maisha jitahidi kusimama katika Haki kwamaana Haki itasimama nawewe katika maisha Yako.
12/03/2025

Katika maisha jitahidi kusimama katika Haki kwamaana Haki itasimama nawewe katika maisha Yako.

24/10/2024

Mwamuzi mwenye Beji ya FIFA, Ramadhan Kayoko amewekwa kikaangoni kufuatia kushindwa kutafsiri vyema baadhi ya matukio kwenye Dabi ya Kariakoo wikiendi iliyopita.
Kayoko anadaiwa kuinyima Simba penalty mbili za wazi katika mchezo huo.

08/05/2022

Heri ya siku ya kuzaliwa kwa kipenzi cha Wanasimba, Mohammed Dewji πŸŽ‰πŸŽ‚

Andika ujumbe wako hapa chini kumtumia salamu za pongezi kwa kuongeza mwaka mwingine kwenye maisha yake.

06/04/2022

"ACHENI KUSOMA SMS ZA WAUME/WAKE ZENU, UKIKUTA IMEANDIKWA BABY UJUE IMEKOSEWA MWAMBIE USIRUDIE TENA"

Mkuu wa wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe amewataka wanaume wilayani humo kuachana na tabia za kusoma SMS za wake zao na vivyo hivyo kwa wake kusoma sms za wanaume wao.

"Nimepiga marufuku mwanaume kusoma meseji mwanamke na mwanamke kusoma za wanaume ukikuta baby ujue ni mashida ya mtandao usihangaike nayo mwache mke wako mwambie mke wako mwambie meseji imekosewa basi"

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu huyo wakati wa ibada ya mazishi ya mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa kijiji cha Kwankonje aliyefariki dunia kwa kukatwakatwa na mapanga huku chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi ambapo amekataza watu kujichukulia sheria mkononi.

Vipi unaionaje hii?
β€”β€”-Tangaza biashara yako nasi kwa bei nafuu sana, tucheki Whatsap +255733145704 au tupigie 0622380889

06/04/2022

Jeshi la Polisi Kanda ya Dar limesema sehemu ya mikakati yake ktk kuzuia biashara ya Wanawake kujiuza ni kuwakamata Wanaume ambao ni wateja

> Kamanda wa Polisi amesema lengo ni kupunguza matumizi ya nguvu kwa Wanawake wanaofanya biashara hiyo.β€”β€”β€”β€”β€”β€”Tangaza biashara yako nasi kwa bei nafuu sana, tucheki Whatsap +255733145704 au tupigie 0622380889

Address

Meshackfredymwakosya7@gmail. Com
Kyela

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MESHA BRAND posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category