Star Chambers Advocates

Star Chambers Advocates Star Chambers Advocates is a Law firm based in Dar es Salaam. We provide legal services on a diverse range including tax, corporate, land and litigation.

Naamini haya ni magari ya Ulinzi kwa ajili ya USalama wa Taifa letu tu. Siamini k**a wengine wanaodhani kuwa magari haya...
23/10/2015

Naamini haya ni magari ya Ulinzi kwa ajili ya USalama wa Taifa letu tu. Siamini k**a wengine wanaodhani kuwa magari haya yameagizwa kuwashughulikia watakaopiga kura vibaya. Hahahaha ...........

Tumshukuru President wetu kwa kutuongezea ulinzi. Baada ya Uchaguzi magari haya yatumike kila kata kupunguza Panya road. Kumbe ilikuwa inawezekana kuwa na ulinzi madhubuti mapema. Awamu ya tano msicheleweshe ulinzi hadi kipindi cha uchaguzi. Vituo vya Kata vya Polisi vifunguliwe 24 hours Please.

I created this video with the YouTube Video Editor (https://www.youtube.com/editor)

23/10/2015

Lowassa ahutubia viwanja vya Furahisha Mwanza

23/10/2015

Hatimaye mahak**a kuu kanda ya Dar es Salaam imesikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na kada wa Chadema anayeiomba mahak**a hiyo kutoa uamuzi wa kwamba w...

Lawyers - LLB 2003 class attenting the TLS Meeting at Arusha, September 2015
22/10/2015

Lawyers - LLB 2003 class attenting the TLS Meeting at Arusha, September 2015

Address

2nd Floor, Togo Tower, Togo Street, Manyanya Area
Kinondoni

Telephone

+255 22 2664616

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Star Chambers Advocates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Star Chambers Advocates:

Share