12/03/2026
Epuka kujenga au kupanga maeneo ya mkondo wa maji, hata k**a wakati wa kiangazi unaona pako shwari.
Tupe uzoefu wako k**a ulishakutana na nyumba iliyo kwenye mkondo wa maji. Ilikuwaje na ni wapi?