05/11/2021
NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO VYUMBA VIWILI VYA KULALA KODI LAKI MBILI NA ELFU HAMSINI (250,000)KWA MWEZI MPYAAA KABISAA
Ni nyumba mpya ya kisasa kabisaa vyumba viwili vya kulala kimoja wapo master bedroom
Seblee kubwa
Dining jiko lenye makabati
public toilet ya ndani umo umo ni full tiles Gypsum board Aluminium window luku yake maji Dawasco yanaflow vyooni na metar yake ya maji mazingila mazuri mnoo nyumba ipo umbali wa 2.4 kilometar to main road usafili upo mda wote
kodi kuanzia miezi sita inapokelewa
Dalali kadu kimara
kupelekwa kuiona ni Elfu 10000/=
Contact
0718 394969
0782 065545