09/12/2021
Katika maisha aya mtualee nimnyonge nimtu masikini kwani yeye thamani yake nikutumwa tu kwale waliyo nazo
Nabila yakujuwa uyouyo masiki ndiye mwenye hakili nyingi namalifa juu yamaisha yake kwaiyo usimzalau masikini kwauwo uwezo wako