11/02/2026
Watu wengi huanza kunitafuta baada ya kufanya manunuzi/mauziano—ndipo changamoto za kisheria hujitokeza.
Ni jambo la kusikitisha lakini ni la kweli.
Watu wengi hununua au kuuza mali ya thamani kwa haraka, kwa kuaminiana, au kwa makubaliano ya mdomo wakidhani kuwa “mradi tumekubaliana, hakuna tatizo”.
Lakini muda unapopita, ndipo matatizo halisi huanza kujitokeza.
Baadhi ya changamoto ninazokutana nazo mara kwa mara ni hizi:
▪️ Mnunuzi kugundua mali aliyonunua haikuwa ya muuzaji halali
▪️ Mali kunyang’anywa baada ya kugundulika ina kesi au madai ya awali
▪️ Kushindwa kubadilisha jina TRA kwa sababu hakuna nyaraka sahihi
▪️ Makubaliano ya mdomo kukanushwa na mhusika mwingine
▪️ Migogoro kuibuka baina ya mnunuzi, muuzaji na watu wa tatu (third party)
Kosa kubwa linalofanywa ni hili:
👉 Watu hufikiria hatua za kisheria baada ya tatizo kutokea, badala ya kabla ya kununua au kuuza.
Ukweli wa kisheria ni kwamba:
•Kubadilisha jina TRA pekee hakutoshi kukulinda
•Kuaminiana bila mkataba ni hatari kubwa
•Sale Agreement sahihi ndiyo msingi wa usalama wa umiliki.
Hatua za kisheria hazikusudiwi kukutesa, bali: 👉 kukukinga dhidi ya hasara, migogoro na usumbufu wa baadaye.
Elimu ya kisheria kabla ya kufanya maamuzi makubwa k**a kununua gari au mali yoyote nyingine, si anasa — ni kinga.
Sambaza Ukurasa huu kwa watu wengi zaidi ili wasipitwe na elimu hii, pamoja na msaada wa kisheria..
Follow Uwanja wa Sheria
WhatsApp channel; Watu wengi huanza kunitafuta baada ya kufanya manunuzi/mauziano—ndipo changamoto za kisheria hujitokeza.

WhatsApp channel https://whatsapp.com/channel/0029VahCH37GU3BFJzzViJ14