30/04/2025
📝 *HEKIMA NA BUSARA NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA.*
Ni silaha tulivu inayoweza kukuvusha katika mawimbi makali ya changamoto.
Mwenye hekima huchagua maneno, mwenendo, na marafiki kwa tahadhari.
Busara hukufanya uone mbali, ukatulia pale wengine wanapochanganyikiwa.
🌟 *Kuwa mvumilivu, na tafakari kabla ya kutenda.*
Maisha yanapendeza unapoyaishi kwa maono, si kwa mihemuko.
Tupande kwa Pamoja kwenye🌳✨ MTI WA HEKIMA WENYE NURU YA MAISHA📖🌟 channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb5yNLrFHWq75vriTE1N