Tanzania Media Women's Association - TAMWA

Tanzania Media Women's Association - TAMWA A peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. The Association in 2004 complied with the new NGO law of 2002.

The Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) is a non-profit sharing, non-governmental and non-partisan organisation registered under the Societies Ordinance on 17th of November 1987 with registration number SO 6763. Tamwa has two offices in Dar -es- Salaam and Zanzibar. Zanzibar office located at Mombasa area near SOS is rented, but the office in Dar -es-Salaam situated at Sinza-Mori, along Sh

ekilango Road, Kijitonyama, Kinondoni District, is Association's property. The founder members of TAMWA are; Fatma Alloo, Edda Sanga, Leila Sheikh, Rose Haji, Ananilea Nkya, Valerie Msoka, Pili Mtambalike, Elizabeth Marealle, Rose Kalemera, Jamilla Chipo, Nellie Kidela and Halima Shariff. Currently the Association has over 100 members with a minimum qualification of Diploma in Journalism and three years work experience in the media industry. Members are working in public and private media houses as editors, reporters, programme managers, producers, public relations and communication officers. The AGM is the supreme organ of the Association but it delegates its powers our to the GB which meets four times a year to evaluate the performance of the Secretariat an organ to execute day today activities of the Association.

02/06/2026

Waandishi wa habari wasisitizwa kushiriki Tuzo za Habari za Maendeleo za Samia Kalamu Awards 2026

Takwimu za Wizara ya Mambo ya Ndani, Jeshi la Polisi zinaonesha ukatili wa kingono kwa jinsia zote umeshuka kutoka matuk...
01/06/2026

Takwimu za Wizara ya Mambo ya Ndani, Jeshi la Polisi zinaonesha ukatili wa kingono kwa jinsia zote umeshuka kutoka matukio 12,749 mwaka 2024 hadi 11,625 mwaka 2025.

Hayo yameelezwa leo na Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo.

“Samia Kalamu Awards (SKA) ni Tuzo zinalenga kutambua, kuthamini na kuhamasisha uzalishaji wa maudhui ya ndani yenye ubo...
31/05/2026

“Samia Kalamu Awards (SKA) ni Tuzo zinalenga kutambua, kuthamini na kuhamasisha uzalishaji wa maudhui ya ndani yenye ubora, yanayochangia kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha, na kuimarisha taswira chanya ya Taifa, kupitia habari za maendeleo“. Mhandisi. Peter Mwasalyanda – Mkurugenzi Mkuu TCRA

Tangu kuanzishwa kwa SKA mwaka 2025, tuzo hizi zimekuwa kichocheo muhimu cha kuhamasisha uandishi na uandaaji wa habari na makala zinazozingatia utafiti na uchambuzi wa kina wa masuala ya maendeleo, uwajibikaji, uzalendo na ujenzi wa taswira chanya ya Taifa.

"Nasisitiza waandishi wa habari kushiriki kuwania Tuzo za Habari za Maendeleo za Samia Kalamu Awards 2026, kwa kuwa waan...
31/05/2026

"Nasisitiza waandishi wa habari kushiriki kuwania Tuzo za Habari za Maendeleo za Samia Kalamu Awards 2026, kwa kuwa waandishi wa habari ndio daraja kati ya serikali na wananchi, tuendelee kuandika habari za miradi ya maendeleo, tuone umuhimu wa kusemea miradi yetu hatua tunazopiga za kimaendeleo ili zijulikane duniani". Dkt Kannaeli Kaale - Mwenyekiti TAMWA

“Katika msimu huu wa pili, Mchakato wa kupokea kazi unaanza rasmi leo tarehe 31  Mei 2026 na kuhitimishwa tarehe 30Juni ...
31/05/2026

“Katika msimu huu wa pili, Mchakato wa kupokea kazi unaanza rasmi leo tarehe 31 Mei 2026 na kuhitimishwa tarehe 30Juni 2026 kupitia tovuti rasmi ya Tuzo samiaawards.tz. Kazi zitakazopokelewa ni zilizochapishwa na kurushwa kuanzia tarehe moja Julai 2025 hadi tarehe 30Juni 2026”. Mhandisi Peter Mwasalyanda - Mkurungenzi TCRA

TCRA na TAMWA kwa kushirikiana na JAB zimezindua, Msimu wa pili wa Tuzo za uandishi wa habari za maendeleo za "Samia Kal...
31/05/2026

TCRA na TAMWA kwa kushirikiana na JAB zimezindua, Msimu wa pili wa Tuzo za uandishi wa habari za maendeleo za "Samia Kalamu Awards 2026" leo May 31, 2026.

28/05/2026

28/05/2026
22/05/2026

Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani: Zifahamu Sifa na Umuhimu wa Nyuki@WizarayamaliasiliTanzania
19/05/2026

Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani: Zifahamu Sifa na Umuhimu wa Nyuki
@WizarayamaliasiliTanzania

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Media Women's Association - TAMWA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Media Women's Association - TAMWA:

Share