24/07/2025
TANGAZO LA UUZAJI WA NYUMBA NA ENEO
Nyumba yenye eneo kubwa linauzwa maeneo jirani na Kituo cha Mabasi Magufuli-Mbezilouis, Wilaya ya Ubungo, Jijini Dar es Salaam, Tanzania. Eneo hili linawezekana kujenga nyumba za wapangaji na hata uwekezaji wa nyumba ya wageni au ufungaji wa kuku pamoja na kujenga fremu za biashara au vyote kwa pamoja.
Eneo hili linauzwa Shillingi za Kitanzania kati ya Millioni semanini hadi Sabini (Tshs. 80, 000,000.00/= - 70,000,000.00/=) Makubaliano yapo kati ya Muuzaji na Mnunuzi.
Kwa Mawasiliano zaidi Piga simu namba zifuatazo: 0764546826/0714908920
TANGAZO LIMETOLEWA NA JORDAN NYEMBE, DALALI KWA USHIRIKIANO NA MUUZAJI TAREHE: 07/24/2025
Shamba yenye eneo la ekali moja lililopo Boko Mnemela jirani na hospitali ya Tumbi, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani linauzwa. Shamba linawezekana kujenga nyumba na hata ufungaji wa kuku pamoja na ujenzi wa shule ya chekechea au vyote kwa pamoja.
Shamba hili linauzwa Shillingi za Kitanzania kati ya Millioni tisa na nusu hadi Millioni tisa (Tshs. 9, 500,000.00/= - 9,000,000.00/=) Makubaliano yapo kati ya Muuzaji na Mnunuzi.
Kwa Mawasiliano zaidi Piga simu namba zifuatazo: 0764546826/0714908920
TANGAZO LIMETOLEWA NA JORDAN NYEMBE, DALALI KWA USHIRIKIANO NA MUUZAJI TAREHE: 07/24/2025