Johnson Yesaya Shukia Mgelwa

Johnson Yesaya Shukia Mgelwa A lawyer | Head

08/09/2025

Building empires one idea at a time. 🧠🌍From Ishai Real Estate to Ishai Motors, and Jungu la Sheria—every move is intenti...
22/06/2025

Building empires one idea at a time. 🧠🌍

From Ishai Real Estate to Ishai Motors, and Jungu la Sheria—every move is intentional. I'm not just watching the future of Tanzania unfold, I'm shaping it. 🇹🇿💼

Focused on real estate, driven by innovation, fueled by purpose. The goal? A billionaire legacy rooted in impact, ownership, and vision. 🚀🏘️

 ✔️
03/11/2022

✔️

Baada ya kupata mualiko kutoka ➡️ Leo tarehe 01/11/2022, mkurugenzi wetu  na team nzima ya   wamehudhuria uzinduzi wa ko...
01/11/2022

Baada ya kupata mualiko kutoka ➡️

Leo tarehe 01/11/2022, mkurugenzi wetu na team nzima ya wamehudhuria uzinduzi wa kongamano la kiserikali kuhusu nishati safi ya kupikia ambapo kongamano hilo linalenga kuhimiza mabadiliko kutoka matumizi ya nishati chafu k**a mkaa, kuni, kinyesi kikavu cha mifugo n.k, kwenda katika matumizi ya nishati safi k**a gesi, umeme, gesi ya mifugo na nishati ya jua.

Nishati chafu ina madhara mengi ikiwemo madhara ya kiafya k**a magonjwa ya macho, kifua, ngozi n.k, pia nishati chafu inaathiri mazingira kutokana na ukataji misitu kwaajili ya kuchoma mkaa, kuvuna kuni n.k.

Sisi Ishai Real Estate, tunaungana na waziri wa nishati ndug. na Mh. Rais katika kuhimiza watanzania kuacha matumizi ya nishati chafu huku serikali ya Tanzania ikiendelea kurekebisha sera, kodi, na utendaji kuelekea safari ya miaka 10 ya kuhitimisha matumizi ya nishati chafu.

Safari ya mabadiliko hayo pia itawalenga wadau muhimu wa nishati k**a



Karibuni sana Ishai Real Estate kwa nyumba bora 🏚️

Address

Sum Nujoma Road
Dar Es Salaam
9422

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Johnson Yesaya Shukia Mgelwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Johnson Yesaya Shukia Mgelwa:

Share

Category