03/03/2023
SAKATA LA FEI TOTO LIMENIPOTEZA KIIMANI.
sure 100% fedha mwana haramu...
Kweli wahenga walisema.... Pata fedha tukujue tabia zako . ndo maana hela /pesa/fedha/noti/ faranga/chenji... Ita majina yote ilimuuza Yesu....
Kweli.... Kuna watu wanafanya kufuru Hadi Filauni anabaki mwanafunzi.
Yaan ulipwe 4M .. milioni 4... 4,000,000 / = kwa mwezi halafu ule ugali kwa sukari???
Halafu mtu huyo mla ugali kwa sukari usishangae Leo mapema anawahi sehemu ya mbele kusali!!
Na mfungo wa ramadhan atafunga pia!!!
Hii dunia hii ... Acha wazungu watulazimishe kuwa mashoga tu....
Maana Mungu wetu tumemgeuza k**a shemeji yetu.,.
FEI katubu kwa Mola wako..
Sasa sisi tunaolipwa laki 4 kwa mwezi tunakula nyasi Sasa ...
K**a 4M unakula ugali sukari.,...
Kumbe wengi tunaonekana watakatifu kwa kuwa hatujakutana na kitita cha fedha.
Halafu mla ugali kwa sukari anapata fedha ya kununua mkataba kwa Tsh 112M.....
Nyie watu nyie .......