Boda Boda Legal Aid & Economic Empowerment Organization

Boda Boda Legal Aid & Economic Empowerment Organization PARALEGAL SERVICE PROVIDERS
/ WASAIDIZI WA KISHERIA

Picha za pamoja na viongozi wa Boda boda kata ya Goba kilichofanyika tarehe 8August 2020 katika ofisi ya Shirika iliyopo...
15/08/2024

Picha za pamoja na viongozi wa Boda boda kata ya Goba kilichofanyika tarehe 8August 2020 katika ofisi ya Shirika iliyopo Goba Centre AZIMA HOUSE 3RDFLOOR

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la BOBLEO Wakili   akiwa na katika ofisi ya shirika makoa makuu Goba centre na akitoa mae...
15/08/2024

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la BOBLEO Wakili akiwa na katika ofisi ya shirika makoa makuu Goba centre na akitoa maelekezo kwa Asifa sheria wa shirka Bwana na

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la BOB LEO  akitoa elimu kuhusu haki za boda boda  kwa viongozi wa boda boda Kata ya Goba...
10/08/2024

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la BOB LEO akitoa elimu kuhusu haki za boda boda kwa viongozi wa boda boda Kata ya Goba katika kikao kilichofanyika tarehe 08/08/2024 katika ofisi ya shirika iliyopo Centre Jengo la AZIMIA HOUSE 3RDFLOOR.

Pia Mkurugenzi aliwaelezea viongozi kwa kina kuhusu faida watakazo zipata kwa kuwa wanachama wa shirika, miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kupata usaidizi mahak**ani kwa mwanachama ambaye analysis inayotokana na kazi yake, kupata elimu juu ya mikataba ya kukodisha pikipiki n.k

Ninafurahi kushiriki kuhusu shirika la kisheria la bodaboda - linalofanya tofauti kwa kila safari! Shirika hili linasaid...
31/07/2024

Ninafurahi kushiriki kuhusu shirika la kisheria la bodaboda - linalofanya tofauti kwa kila safari! Shirika hili linasaidia madereva wa bodaboda kupata msaada wa kisheria wanapokumbana na changamoto. Kupitia jitihada zao, wanaboresha maisha ya wengi na kuleta haki kwa wote. Ni faraja kubwa kuona juhudi zinazofanywa na shirika hili.

Heri ya Miaka ya 60 ya MUUNGANO
26/04/2024

Heri ya Miaka ya 60 ya MUUNGANO

Kwa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi, hasa kuhusu masuala k**a vile haki za wanawake, haki za watoto, na haki z...
20/04/2024

Kwa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi, hasa kuhusu masuala k**a vile haki za wanawake, haki za watoto, na haki za ardhi...
Karibu tuzungumze

20/04/2024

Address

Dar Es Salaam
16112

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255622861092

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boda Boda Legal Aid & Economic Empowerment Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Boda Boda Legal Aid & Economic Empowerment Organization:

Share

Category