Makarius wilfred muba

Makarius wilfred muba FOLLOW LIKE COMMENT & SHARE
https://youtube.com/-m6t?si=Efypvp5n65fO9Lgi
(3)

Full time
04/05/2026

Full time

Ukitazama wakati mpira unatoka kwenye mguu wa Mpanzu tayari Chama alikuwa kwenye eneo la kuotea hvyo according to my VAR...
04/05/2026

Ukitazama wakati mpira unatoka kwenye mguu wa Mpanzu tayari Chama alikuwa kwenye eneo la kuotea hvyo according to my VAR goli la Chama halikustahili kuwa goli kwaninilikuwa ni Offside

Ulianza kuangalia Kombe la Dunia mwaka gani?
01/05/2026

Ulianza kuangalia Kombe la Dunia mwaka gani?

30/04/2026

Gigy Money ndani ya usiku wa uzinduzi wa Vinjabei Bet. Historia imeandikwa leo ndani ya The Superdome Masaki.

Jeshi la wanamaji la Pakistani kuongeza manowari za hali ya juu za ChinaBonyeza kiungo kwenye maoni hapa chini ⬇️
30/04/2026

Jeshi la wanamaji la Pakistani kuongeza manowari za hali ya juu za China

Bonyeza kiungo kwenye maoni hapa chini ⬇️

Mwaka 2004 lilitokea tukio hili la Golikipa Fabian Barthez kukojoa ndani ya Pitch wakati mechi ikiwa inaendelea.Mwamba h...
30/04/2026

Mwaka 2004 lilitokea tukio hili la Golikipa Fabian Barthez kukojoa ndani ya Pitch wakati mechi ikiwa inaendelea.

Mwamba hakuwaza Wala nini yeye alitoa mtulinga na kuanza kukojoa muda huo mashabiki wakiwa wanatazama na mwamba Wala hakujali.

Pamoja na hayo mwamuzi alimuonesha KADI nyekundu 🟥 na kutoka mchezoni lakini sio Kwa tukio la kukojoa kwenye pitch ni kwakosa jingine...

Goal Insight

FOLLOW US.

BREAKING 🔴: Kocha Jürgen Klop amekataa ofa ya Frolentino Perez Ili awe kocha mkuu wa klabu ya Real Madrid C.F. kuanzia m...
30/04/2026

BREAKING 🔴: Kocha Jürgen Klop amekataa ofa ya Frolentino Perez Ili awe kocha mkuu wa klabu ya Real Madrid C.F. kuanzia msimu ujao.

Kocha Jürgen Klop yupo kwenye mazungumzo na shirikisho la mpira wa miguu nchini Ujerumani 🇩🇪 (DFB) Ili aje kuwa Kocha mkuu wa timu ya taifa hilo.

source: [ Diario AS ]

Goal Insight

FOLLOW US.

Onyesho la nusu fainali ya Kombe la Dunia linaweza kuchukua dakika 30.Onyesho linalowashirikisha wasanii wengi linataraj...
30/04/2026

Onyesho la nusu fainali ya Kombe la Dunia linaweza kuchukua dakika 30.

Onyesho linalowashirikisha wasanii wengi linatarajiwa na viwanja na vifaa mbalimbali vitalazimika kujengwa na kubomolewa.

Kombe la dunia k**a mwaka itakuja na bwebwe nyingi ni vile tu Iko marehemu.

22/04/2026

Nchi ambazo Marekani haiwezi kuzivamia.

Waziri wa mambo ya ndani wa Urusi awasili Korea Kaskazini kwa mazungumzo
21/04/2026

Waziri wa mambo ya ndani wa Urusi awasili Korea Kaskazini kwa mazungumzo

21/04/2026

Wananchi mnaikumbuka hii

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255759421587

Website

https://youtube.com/@makariuswilfredmuba-m6t?si=YH6TLA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makarius wilfred muba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Makarius wilfred muba:

Share