FASDO YOUTH

FASDO YOUTH Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO)

Geographic location the community:

Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) is a Non-Government Organization with its headquarters at Kipungo street number 6A, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. Information about the organization:

FASDO was established in 2009 and registered by the Ministry responsible for home affairs under non-government organization law section 56 of Tanzania. The

main objectives of FASDO:

• Fight against HIV/AIDS by using arts and sports to bring awareness to the community.
• Fight against poverty using arts and sports to create employment.
• To discover, nurture and develop youth talents in arts and sports.
• To deal with problems facing vulnerable children who are in difficult situations
• Work with other organizations with similar objectives in order to bring changes to the youth in these communities.
• Help these children and youth to build critical thinking skills for them to succeed in school and help to reduce the crushing poverty in Tanzania.

Uongozi wa FASDO YOUTH   tunatoa  pole sana kwa Familia ya  Marehemu C.stanley K**ana. Kwa kuondokewa na mpendwa wetu Bi...
25/08/2024

Uongozi wa FASDO YOUTH tunatoa pole sana kwa Familia ya Marehemu C.stanley K**ana. Kwa kuondokewa na mpendwa wetu Bi. Ezenia K**ana. Ambae Kwetu sisi marehemu Alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Taasisi yetu ya Fasdo, Mchango wake kwetu ulikuwa ni mkubwa sana katika kila hatua. Hakika kila nafsi Itaonja Umahuti.
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE

Miezi 6 inatosha kuwa fundi,  kinachatakiwa ni wewe kijana Kuja kujiunga nas FASDO YOUTH  Tunafundisha kwa vitendo kumpa...
07/07/2024

Miezi 6 inatosha kuwa fundi, kinachatakiwa ni wewe kijana Kuja kujiunga nas FASDO YOUTH Tunafundisha kwa vitendo kumpa uwezo mzuri mwanafunzi hata k**a ameishia darasa la saba au elimu ya juu.
Wasiliana nasi;
Simu: +255699499942
+255716241000
Wote mnakaribishwa sana
Mafunzo yetu ni bure kabisa.
"Mwenye ujuzi halali njaa"

FURSA FURSA FURSA!!!MAFUNZO YA USHONAJI!!- Karibu upate Mafunzo ya Ushonaji  BURE- Mafunzo yetu Yatakusaidia KUTENGENEZE...
13/06/2024

FURSA FURSA FURSA!!!

MAFUNZO YA USHONAJI!!

- Karibu upate Mafunzo ya Ushonaji BURE
- Mafunzo yetu Yatakusaidia KUTENGENEZE kipato chako pale tu, utakapo tumia muda wako kwa Usahihi katika kujifunza
- Sisi K**a Shirika Tutakusaidia na kuhakikisha unajifunza vizuri na kuhitimu Mafunzo yetu.
HUDUMA HII NI BURE.

KWA MAWASILIANO: 071624100/ 0699499942.

Heri ya sikukuu ya kumbukizi ya Mw. Julius Kambarage Nyerere.
14/10/2023

Heri ya sikukuu ya kumbukizi ya Mw. Julius Kambarage Nyerere.

Tarehe 28/ 9/ 2023 Taasisi Yetu imeweza kutimiza  Miaka 14 toka kuanzishwa kwake. Tunawashukuru wadau wote ambao tupo na...
12/10/2023

Tarehe 28/ 9/ 2023 Taasisi Yetu imeweza kutimiza Miaka 14 toka kuanzishwa kwake. Tunawashukuru wadau wote ambao tupo nao katika miaka hii yote. Malengo yetu k**a shirika bado yapo pale pale ya kukuza kuvumbua vipaji.

Pumzika kwa Amani, Daima tutakukumbuka .
31/08/2023

Pumzika kwa Amani, Daima tutakukumbuka .

Umehitimu Darasa la saba au kidato cha nne?Ungependa kujifunza kozi itakayokupa ajira kwa haraka? K**a jibu ndio Njoo sa...
03/08/2023

Umehitimu Darasa la saba au kidato cha nne?
Ungependa kujifunza kozi itakayokupa ajira kwa haraka? K**a jibu ndio Njoo sasa Fasdo ndo mkomboni wako kwasasa.
Tunatoa Mafunzo kwa muda mfupi tena bure kabisa. tunatoa kozi mbili kwako wewe kijana kozi ya kushona na kozi ya kudarizi.

1.Mafunzo yetu ya Ushonaji na ubunifu wamavazi na mitindo. Unachukua mwaka mmoja, baada ya hapo unapata cheti chako.

2. Mafunzo yetu ya kudarizi nguo zote unachukua mwaka mmoja, baada ya hapo unapata Cheti chako.

NJOO UJINGE NASI KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA ZETU: +255699499942 AU 0688 997596.

FASDO CUP 2023.Michuano ya Vijana chini ya miaka 20 imekamilika siku ya jana, ambayo ilikuwa ikifanyika Katika Kijiji ch...
30/07/2023

FASDO CUP 2023.

Michuano ya Vijana chini ya miaka 20 imekamilika siku ya jana, ambayo ilikuwa ikifanyika Katika Kijiji cha Kidugalo Wilayani Kisarawe. ZEGERO SM na KIDUGAL SM ndo Team ambazo ziliweza kuingia final na Team ya ZEGERO SM iliweza kushinda 2 - 1 KIDUGALO SM. Mabingwa wa Kombe ili waliweza kukabidhiwa Zawadi yao na MH. DIWANI Musa KuniKuni na Mkurugenzi wa Fasdo Tedvan Nabora

Address

Kipungo Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FASDO YOUTH posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FASDO YOUTH:

Share