Haki Associates Advocates

Haki Associates Advocates Haki Associates Advocates is a legal firm registered in the United Republic of Tanzania

01/05/2026

True

26/04/2026
22/04/2026

The dark is dark because of no light but once there is light dark goes away, Bakari Mziray @

    ,
16/04/2026

,

K**a una umri wa miaka 40 au zaidi, mambo ya muhimu ya kuzingatia ni haya:

1.) Ongeza activity zinazotumia nguvu. Mazoezi walau siku 4 kwa wiki, kila siku si chini ya saa moja. Ukishindwa basi walau dakika 20 za HIIT (high intensity interval training) ama za Yoga zinakutosha.

2.) Unywe maji si chini ya lita 3 kwa siku. Hakikisha unakula matunda na mboga za majani kwa wingi kila siku - ama jenga tabia ya kunywa vitamin supplements kila baada ya muda fulani. Maji yatasaidia kusafisha Figo. Vitamins zitasaidia kuongeza metabolic rate na kuchelewesha mwili wako kuchoka na kuzeeka haraka.

3.) Punguza pombe. Acha binge drinking (ile nina kiu kikali sana - unapiga bia 2 then 2 then 2 ndani ya lisaa! Au masaa mawili!)

4.) Anza kujizoesha intermittent fasting. Za rahisi kabisa ni hizi hapa 2, kutegemeana na kazi unazofanya. Ya kwanza, unakula miwili (breakfast na lunch), breakfast muda wowote kati ya saa moja na saa tatu asubuhi, na lunch isizidi saa 8 mchana. Ilimradi upate masaa yasiyopungua 16 bila kula kitu. Ya pili, unakula milo miwili (brunch na supper) - brunch isiwe kabla ya saa sita mchana na supper isiwe zaidi ya saa moja jioni. Ukifanya hivi utapata fasting ya masaa 16 bila shida! Nje ya muda huu ni kunywa chai/kahawa (isiyo na sukari) na maji tu!

5.) Jenga interest ya kujiunga kwenye clubs za veterans - soka, jogging, swimming, gym, community gym, waendesha baiskeli wikendi, wakimbiaji wikendi, wajeza golf wikendi, Basketball, wapanda milima, dojo za karate, taekwondo etc.

6.) Jenga interest ya kusoma vitabu na kuandika. Jiunge, ama anzisheni club za kusoma vitabu na kuvijadili etc

7.) Jenga interest ya kuwekeza, kufanya shughuli za biashara/uzalishaji etc. Weka miradi yako kwenye makundi matatu - ndoto kubwa ya muda mrefu, usalama wako kiuchumi na familia na kusukuma maisha ya kila siku!

8.) Jenga tabia ya kufanya ibada.

9.) Jenga tabia ya kuwacheki wazazi wako (k**a una bahati kuwa bado wapo hai) - hata kwa simu, kutana na marafiki, ndugu zako. Jitahidi kuwa na interest na watoto wa ndugu na rafiki zako, uwajue majina yao, shule zao na wako wapi. Have a sense of family and community.
Nitaendelea kidogo kidogo.

Tbt , Adv Hashim Mziray, years back 2001
24/01/2026

Tbt , Adv Hashim Mziray, years back 2001

07/12/2025

Msumari wa moto huo, mbao ya moto

06/12/2025
04/12/2025
04/12/2025

Address

P. O BOX 41347
Dar Es Salaam

Telephone

+255718682072

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Haki Associates Advocates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share