Alin Law Care

Alin Law Care We handle registration of Trademarks, Patents, Industrial Design, as well as Copyrights and their ne

  ES SALAAM CITY, View from our new office location @ Samora Avenue
22/09/2019

ES SALAAM CITY, View from our new office location @ Samora Avenue

FAIDA 8 ZA KUSAJILI KAMPUNI NA KUENDESHA BIASHARA YAKO KWA MFUMO WA KAMPUNI1.Kufanya biashara yako kutambulika rasmi kis...
03/08/2019

FAIDA 8 ZA KUSAJILI KAMPUNI NA KUENDESHA BIASHARA YAKO KWA MFUMO WA KAMPUNI

1.Kufanya biashara yako kutambulika rasmi kisheria/kurasimisha biashara yako.

2. Kukuwezesha kupata fursa za biashara kutoka taasisi za serikali na za binafsi k**a vile tenda/zabuni.

3.Pia unaweza kupanua mtaji kwa kuingia ubia na makampuni ya nje na ya ndani ya nchi au kwa kuuza hisa kwa wawekezaji wenye mtaji.

4.Uwezo wa kupata kazi, yaani ''contract au tenda'' na makampuni mengine, kwa kuwa makampuni mengi yanapenda kufanya kazi na makampuni na sio watu binafsi.

5. Unakuwa nafasi nzuri ya kupata ushirikiano na wawekezaji au wafadhili kwa haraka zaidi kwasababu inawapa uhakika wa kutotapeliwa ikiwa makubaliano/mikataba itakayofikiwa inakuwa ni baina yao na kampuni na sio mtu binafsi

6. Kutofautisha mali zako na mali za kampuni yako, ikitokea kampun yako inadaiwa, Mali zako hazitoweza kuk**atwa na kuuzwa k**a his a zako kwenye kampuni umezilipia. Kwa ufupi, Deni la kampuni sio lako.

7. Ukiwa na kampuni Unaweza fakunya biashara zaidi ya 10 chini ya hiyo kampuni na unaweza kupata Mkopo kutoka kwenye taasisi yoyote ya kifedha kwa urahisi.

8. Rahisi kumrithisha ndugu, mtoto wako hizo biashara kupitia hiyo kampuni yako

NIFANYEJE NIWEZE KUSAJILI/KUMILIKI KAMPUNI?

*Tunachohitaji kutoka kwako ni:-*

-Pendekeza majina matatu ya Biashara au kampuni ambayo ungependa yatumike, baadae tutachagua mojawapo litakaloonekana linafaa kwa mujibu wa BRELA,

- Kitambulisho/Namna ya kitambulisho cha Taifa (NIDA) cha kila director na kila Mwanahisa, au Copy ya Passport ya kusafiria endapo Mkurugenzi/wakurugenzi au Mwanahisa ni raia wa kigeni

-TIN namba ya kila director-inaweza kuwa ya biashara au isiyo ya biashara,
- Anuani ya makazi (Physical Address) ya kila director na mwanahisa

- Tuelezee biashara gani unataka kuzifanya chini ya kampuni yako, Uzuri wa kuwa na kampuni ni kwamba unaweza kufanya biashara nyingi chini ya kampuni hiyo moja.

-Tueleze eneo ambako offisi ya Kampuni itakuwa baada ya usajili kukamilika (physical address of your Company's registered office)

KWA MAWASILIANO/USHAURI ZAIDI FIKA OFISINI KWETU
Mtaa wa kupata, Barbara ya Lumumba mnazi mmoja, gorofa ya saba, jengo la SUMMIT TOWER, karibu na Jengo la Ushirika.

KUMBUKA: Garama za kusajili kampuni zinategemea kiwango cha mtaji wa kampuni husika

Au tupigie / WhatsApp +255753610909 or 0673030412

28/07/2019
28/07/2019

“To achieve patent commercialization success, every inventor must think like a business man” ― Kalyan C. Kankanala, Fun ...
18/02/2019

“To achieve patent commercialization success, every inventor must think like a business man”
― Kalyan C. Kankanala, Fun IP, Fundamentals of Intellectual Property

27/01/2019
26/12/2018

Alin Law Care is a leading intellectual property firm in Tanzania exclusively offering registration of Trademarks, Patents, Industrial Designs, as well as Copyrights and their neighbouring rights. We advise the authors, owners of copyrights on the conceiving and publishing of original and derivative works, specifically literary works, industrial and graphical designs and computer software.

Address

Manfield Street
Dar Es Salaam
11107

Opening Hours

Monday 06:30 - 18:30
Tuesday 06:30 - 18:30
Wednesday 06:30 - 18:30
Thursday 06:30 - 18:30
Friday 06:30 - 18:30
Saturday 06:30 - 18:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alin Law Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Alin Law Care:

Share