30/05/2026
Kila mtu ana haki ya kumiliki mali.
π Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 β Ibara ya 24:
β’ Kila mtu ana haki ya kumiliki mali kwa mujibu wa sheria
β’ Mali ya mtu inapaswa kulindwa kwa mujibu wa sheria
β’ Hairuhusiwi kunyangβanya mtu mali yake bila kufuata sheria
β οΈ Pale ambapo mali inachukuliwa kwa mujibu wa sheria, fidia inayostahili lazima ilipwe.
π Haki ya kumiliki mali ni haki ya msingi inayolindwa na Katiba.
βοΈ π