Dirm Attorneys

Dirm Attorneys This is the official page of Dirm Attorneys which is the Law Firm with headquarters in Dar es Salaam Tanzania.

The firm puts together the unique experience of its individual partners in their respective practice area. The firm was established in the year 2014 after the Partners decided to join together to establish a Law firm with partners who has been in practice for more than 10 years and who are experts in different disciplines of law. The firm offers consultancy in the area of Corporate and business la

w, Social Security laws, formation of companies, privatization restructuring, intellectual property, Corporate statutory and Business Support Services, Banking Law, tax law, insurance and labour law, capital markets and securities. The Firm also offers consultancy in Property law, banking and financial law and handles receiverships, bankruptcy /liquidation, environmental law, human rights law, trust law, aviation law, maritime law, land law, family law, inheritance laws, probate laws, and immigration law. The firm have wide experience in litigation both in civil and criminal cases as well as arbitration.

Kuk**atwa mtuhumiwa ni hatua ya kumweka chini ya ulinzi kabla ya kumfikisha katika vyombo vya dola. Vyombo vya dola ni p...
28/03/2016

Kuk**atwa mtuhumiwa ni hatua ya kumweka chini ya ulinzi kabla ya kumfikisha katika vyombo vya dola. Vyombo vya dola ni pamoja na polisi au mlinzi wa amani.Ili kuhakikisha kuwa mtuhumiwa anatiwa nguvuni vyombo vifuatavyo vimepewa mamlaka ya uk**ataji:-(i) Polisi;(ii) Afisa Usalama au askari kanzu;(iii) Mkuu wa Mkoa;(iv) Waziri;(v) Raia;
(vi) Rais wa nchi
(vii) Hakimu
(kwa mujibu wa kifungu cha 11 – 33 Kanuni za Mwenendo wa Makosa ya Jinai).

AJIRA KWA WATOTOKwa ufupi sheria inakataza mtoto mwenye umri chini ya miaka 14 kuajiriwa. Sheria pia inaendelea kukataza...
29/12/2015

AJIRA KWA WATOTO
Kwa ufupi sheria inakataza mtoto mwenye umri chini ya miaka 14 kuajiriwa. Sheria pia inaendelea kukataza ajira kwa watoto chini ya miaka 18 katika maeneo ya migodi, viwanda, k**a mabaharia katika meli au kazi nyingine yeyote inayotambulika kua hatarishi. Hata hivyo, sheria inaruhusu ajira kwa watoto wa miaka 14 katika kazi nyepesi ambazo sio hatarishi kwa afya ya watoto na maendeleo na haihatarishi mahudhurio ya watoto shuleni, ,mafunzoni au programu za kujifunza. Kwa ujumla ustawi wa watoto hautakiwi kuhatarishwa hata kidogo.

To the foreigners intending to work in Tanzania.
19/12/2015

To the foreigners intending to work in Tanzania.

01/11/2015

.Who may submit cases to the International Court of Justice (ICJ)?

Only States are eligible to appear before the Court in contentious cases. At present, this basically means the 192 United Nations Member States.
The Court has no jurisdiction to deal with applications from individuals, non-governmental organizations, corporations or any other private entity. It cannot provide them with legal counselling or help them in their dealings with the authorities of any State whatever.
However, a State may take up the case of one of its nationals and invoke against another State the wrongs which its national claims to have suffered at the hands of the latter; the dispute then becomes one between States.

Matokeo ya Uchaguzi HAYAHOJIWI MAHAKAMANI. Hii ni kwa mujibu wa KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
29/10/2015

Matokeo ya Uchaguzi HAYAHOJIWI MAHAKAMANI.
Hii ni kwa mujibu wa KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Tume ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa wasipowafundisha Mawakala kuhusu kipengele namba 3 Juu ya kumhoji mtu yeyote basi ku...
03/10/2015

Tume ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa wasipowafundisha Mawakala kuhusu kipengele namba 3 Juu ya kumhoji mtu yeyote basi kunaweza kupigwa KURA ZA HASIRA.
Msimamizi wa Chama fulani anaweza kukikosesha Chama chake kura iwapo ATATUMIA LUGHA YA KUUDHI AU KUKASHIFU WAPIGA KURA.

02/10/2015

JE, WAJUA WASH*TAKIWA WASIO NA MAWAKILI HUKUTWA NA HATIA NA HUFUNGWA VIFUNGO VIREFU KULIKO WALIO NA MAWAKILI?

Mfano:::; Mawaziri wawili wastaafu, Basil Mramba na Daniel Yona waliokuwa wanatumikia kifungo cha miaka 3 jela wamepunguziwa adhabu mpaka mwaka mmoja baada ya rufaa yao kusikilizwa leo

-Wanatumikia kifungo hicho kwa makosa ya kutumia madaraka vibaya na kuisababishia Serikali hasara.

02/10/2015

JE, WAJUA WATU WASIOWAKILISHWA NA MAWAKILI MAHAKAMANI NDIO HUFUNGWA MUDA MREFU ZAIDI?
Mawaziri wawili wastaafu, Basil Mramba na Daniel Yona waliokuwa wanatumikia kifungo cha miaka 3 jela wamepunguziwa adhabu mpaka mwaka mmoja baada ya rufaa yao kusikilizwa leo

Wanatumikia kifungo hicho kwa makosa ya kutumia madaraka vibaya na kuisababishia Serikali hasara.

UTETEZI WA ULEVI KATIKA MAKOSA YA JINAIKWA kawaida ulevi sio utetezi dhidi ya kosa lolote lile la jinai (F. 14(1). Kanun...
20/09/2015

UTETEZI WA ULEVI KATIKA MAKOSA YA JINAI

KWA kawaida ulevi sio utetezi dhidi ya kosa lolote lile la jinai (F. 14(1). Kanuni ya Adhabu, i.h.j). Isipokuwa ulevi unaweza kuwa utetezi iwapo kutokana na ulevi huo wakati wa kutenda kosa linalodaiwa msh*takiwa hakuelewa lile alilokuwa akilifanya (F. 14(2). Kanuni ya Adhabu, i.h.j).
Ni muhimu msh*takiwa athibitishe kuwa hali hiyo ya ulevi ilisababishwa na mtu mwingine kwa sababu ya uzembe wake au makusudi bila ya ridhaa yake. Au msh*takiwa athibitishe kwamba kutokana na ulevi huo alirukwa akili kwa muda au kipindi chochote kile.

18/09/2015

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC)
imepata taarifa ya kuwepo kwa baadhi ya Vyama vya Siasa ambavyo vinaandaa vijana zaidi ya 1500 na kuwapa mafunzo ya kijeshi ili kufanya vurugu wakati wa Uchaguzi. Taarifa hizo japo ni za upande mmoja Tume inaliomba Jeshi la Polisi kuchunguza suala hilo na kuchukua hatua ili kudhibiti viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani. Hili nalo, Tume inalikemea kwa nguvu.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania imetangaza kuwa matokeo ya Kura za Udiwani, Ubunge na Uraisi yatabandikwa kila kituo ...
18/09/2015

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania imetangaza kuwa matokeo ya Kura za Udiwani, Ubunge na Uraisi yatabandikwa kila kituo ili kuwe na uwazi na kuondoa utata uliojificha wa kuibiwa kura.

08/09/2015

Yafaa kila Mtanzania awe na HAKI YA ELIMU BORA NA MAZINGIRA BORA YA KUJIFUNGIA.

Address

Corner Of Sikukuu/Omari Londo Street
Dar Es Salaam
BOX35880

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dirm Attorneys posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share