24/01/2019
MASTER BEDROOM KUBWA YA KUPANGA - UBUNGO RIVER SIDE
CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI (150,000) malipo kuwanzia miezi miwili 2
Nyumba zipo Ubungo River Side kituo cha Hostel hatua chache tu kutoka kituoni Main Road.
Nyumba ina Chumba na Choo cha kisasa kizuri
Full Tilles, Gypsum & Shutter Windows
Nyumba ipo ndani ya Fensi ila gari haipaki ndani wapangaji wawili tu.
Umeme LUKU wanashea watatu ila kila mtu ana kisoma mita chake.
Maji yapo Dawasco.
Kodi 150,000/= Kwa mwezi na malipo ya mwezi mmoja wa Leonard
,000/= ya kuonyeshwa na kutafutiwa Nyumba mpaka upate
Dalali Ubungo.
0712968728 Whats app
0759415833
0788377773