19/01/2015
Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo Mbinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha ,inapenda kukufahamisha kuwa imepima viwanja vya matumizi mbali mbali (Makazi, Housing Estate, Hoteli, Majengo ya Huduma, Uwanja wa Michezo, Makazi/Biashara, Shule, Biashara, Zahanati na Kituo cha Biashara) katika eneo la Chalinze Mzee Kata ya Bwilingu Mkoa wa Pwani .
Fomu za Maombi ya kununulia viwanja zinapatikana kupitia:- Benki ya Posta (TANZANIA POSTAL BANKS) katika Matawi ya Metropolitan, Mkwepu na Posta mpya (YWCA) pia Tawi dogo la Bagamoyo. Gharama za Fomu ya maombi ni kiasi cha Tshs 15,000.
Pia Fomu zinapatikana katika tovuti yetu (www.utt-pid.org) na malipo yanafanyika katika Matawi yote ya Benki ya Posta Nchi nzima.
KWA MAELEZO ZAIDI: TUPO
Golden Jubilee Tower, Ghorofa Ya 12
P.O Box 77783 Dar Es Salaam, Tanzania
AU WASILIANA NASI KUPITIA :
Simu; +255-22 292204/2922205/+255-757 254653
Nukushi; +255 22 2922207
Barua Pepe; [email protected]
UTT, Home , munde software company website