Mwanasheria

Mwanasheria Huu ni ukurasa rasmi wa Mwanasheria/Wakili anayetoa huduma za kisheria.

07/06/2025

Dhamana zipo za aina mbili: itolewayo Polisi na ile ya Mahakamani. Je, wajua utaratibu wa kuomba dhamana hizi?

07/06/2025

Serikali za mitaa hazina mamlaka ya kusimamia/kushuhudia mikataba ya mauziano ya nyumba/kiwanja

07/06/2025

Mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya kurithi sawa na watoto waliozaliwa kwenye ndoa

13/07/2024

Ardhi ni mali ya umma. Rais ni msimamizi mkuu kwa niaba ya umma. Hati inatolewa kuonesha 'haki ya kutumia' siyo 'kuimiliki' ardhi.

26/11/2023

Mnaweza kuwa kwenye ndoa halali na kila mmoja akamiliki mali zake binafsi.

17/09/2023

Kutoifahamu sheria siyo sababu ya utetezi endapo ukikutwa na hatia.

26/01/2023

Mtoto mwenye umri chini ya miaka kumi hana hatia kwa kosa lolote la jinai atakalofanya, hata akiua.

25/01/2023

Ni jukumu la baba kuilea familia yake kwa kuipatia mahitaji ya msingi, mkewe hana wajibu huo hata akiwa amemzidi kipato.

24/01/2023

Ni kosa la jinai kuchoma moto au kuharibu mali yoyote kwa makusudi, hata mali hiyo ikiwa ni yako.

06/08/2021

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Telephone

+255714054800

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanasheria posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share