12/08/2025
π‘ VIWANJA VIKINDU KISAYANI β LAKI 7 TU UNAMILIKI!
Fursa nyingine kabambe kutoka Delta Capital Group! Umiliki wa ardhi haujawahi kuwa rahisi hivi! π₯
π Mradi upo Vikindu Kisayani, km 12 kutoka Vikindu Center
β
Huduma zote muhimu zipo karibu β shule, maji, umeme
π Viwanja vyote vina ukubwa wa futi 50 kwa 50
π° Bei ya kiwanja kimoja ni TZS 700,000 tu
ποΈ Lipa kidogo kidogo β 100,000 tu kwa mwezi kwa miezi 7
π Ziara za kwenda site ni kila Jumamosi
Hii ni nafasi bora kwa vijana, wafanyakazi, na wafanyabiashara kuwekeza kwenye ardhi yenye uhakika wa hati na mazingira salama kwa maisha au ujenzi wa nyumba ya biashara.
π Ofisi: Rita Tower, Posta β Dar es Salaam
π²
π 0783763575
π’ Delta Capital Group Ltd β Wataalamu wa Ardhi Tanzania