Ulasi Viwanja

Ulasi Viwanja Karibu Ulasi Viwanja Kwa Viwanja Vizuri Kwa Bei Nafuu 🤝

13/04/2026

TUNAUZA NA KUKOPESHA VIWANJA KWA BEI POA NA ULIPE KIDOGO KIDOGO HADI UMALIZE
_____________________________________
+225656753257)! whtasp+225688689282
_____________________________________
Viwanja vipo ,,,,MBANDE MIPEKO,,,,,,ukitaka kufika mbande panda gari k /Koo,temeke tandika posta buza nauli 700/=had mbande magengeni stendi shuka bodaboda 🏍️ 1000 bajaji 🛺 500 now 700/= hadi saiti
____________________________________
Ukubwa wa kiwanja na Bei zake

Futi 50 Kwa 40=laki 6
Futi 50 kwa 40 =milion 1
Futi 50 Kwa 40 =millioni 1.5
Futi 50 kwa 40 =million 2
Futi 50 Kwa 40 =milioni 2.8

Utofauti ni umbali wa kutoka mbande magenge kufika saiti ila VIPIMO sawa saiti yakwanza kutoka mbande kufika saiti Kuna km 1 saiti yapili Kuna km3 adi 4

______________________________________
Uduma zote zajami zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Balabala✓
Njoo ukaguwe pia unaweza kulipa kwa hawamu hati zipo na kuona bule na nikila siku

*Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja *

Karibuni wateja uwaminifu ni %%%100%%%

_____________________

25/03/2026

TANGAZO 📢. TANGAZO📢 TANGAZO📢. TANGAZO📢...

WAHI SASA .
UJIPATIE KIWANJA CHAKO KWA BEI NAFUU MNO..

Leo tumekuletea Mradi wa Viwanja ambavyo :
- Viwanja safi na tambalale
- Unaweza miliki viwanja zaidi ya viwili
- Unaweza jenga chochote ( hospital, shule, makazi )
- Unaweza kutumia viwanja hivi kwa manufaa ya baadae ( vizazi vijavyo )

📍 VIWANJA VILIPO :
- Tupo na Viwanja Mbande Mipeko
- Tupo na Viwanja Vikindu Vianzi

🧾 UHALALI WA VIWANJA
- Viwanja vimepimwa na vina hati miliki halali

📐 UKUBWA WA VIWANJA
- Futi 50 kwa 40
- Square Meter 200 na zaidi

🔖 BEI ZA VIWANJA
- Tsh. 1,000,000/=
- Tsh. 1,300,000/=
- Tsh. 1,500,000/=
- Tsh. 1,700,000/=
- Tsh. 2,000,000/=
- Tsh. 2,500,000/=
- Tsh. 3,000,000/=
- Tsh. 3,500,000/=

💰 UTARATIBU WA MALIPO
- Unaweza lipia yote kwa pamoja
- Unaweza lipia nusu ya bei ya kiwanja na ukamalizia taratibu

🚰 HUDUMA ZA MUHIMU ZILIZOPO
- Maji safi
- Huduma za Afya
- Barabara za Rami
- Umeme wa Tanesco
- Shule za Serikali na Binafsi

💯 OFA ZETU ZA VIWANJA
- Tunakupeleka kwenye mradi bure
- Tunakushauri kiwanja bora cha kumiliki
- Tunakupatia tofali za kuanzia ujenzi wako

🚘 *UTARATIBU WA KUFIKA SAITI*
- Unaweza kuja siku yoyote na tukakupeleka site
- Tunakupeleka kwa usafiri wetu ukafanye ukaguzi bure

🏬 OFISI ZETU ZILIPO
- Tunapatikana Mbande Magenge, Dar Es Salaam

☎️ MAWASILIANO
- >> 0656-753257
- >> 0688-689282


( Tunakujali wewe Kwanza )

.

13/11/2025

Nyumba inauzwa inapatikana chamazi wilaya ya temeke mkoa wa dar es Salaam kwa maelezo zaid tupgie simu 0656-753257/0688689282

09/02/2025

TUNAUZA NA KUKOPESHA VIWANJA KWA BEI POA NA ULIPE KIDOGO KIDOGO HADI UMALIZE
_____________________________________
+225656753257)! whtasp+225688689282
_____________________________________
Viwanja vipo ,,,,MBANDE MIPEKO,,,,,,ukitaka kufika mbande panda gari k /Koo,temeke tandika posta buza nauli 700/=had mbande magengeni stendi shuka bodaboda 🏍️ 1000 bajaji 🛺 500 now 700/= hadi saiti
____________________________________
Ukubwa wa kiwanja na Bei zake

Futi 50 kwa 40 = 1,600,000
milion Moja na Laki SITA

Utofauti ni umbali wa kutoka mbande magenge kufika saiti ila VIPIMO sawa saiti yakwanza kutoka mbande kufika saiti Kuna km 1 saiti yapili Kuna km3 adi 4

______________________________________
Uduma zote zajami zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Balabala✓
Njoo ukaguwe pia unaweza kulipa kwa hawamu hati zipo na kuona bule na nikila siku

*Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja *

Karibuni wateja uwaminifu ni %%%100%%%

__________________________________________________

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ulasi Viwanja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category