16 Days Tanzania

16 Days Tanzania Special page for 16 Days of Activism Campaign in Tanzania.
25th November - 10th December
Kauli mbiu: !

Community in action.✨We stood together to raise awareness on Gender-Based Violence, violence in our communities, and sex...
20/02/2026

Community in action.✨

We stood together to raise awareness on Gender-Based Violence, violence in our communities, and sexual and reproductive health. Through open conversations, shared stories, and education, we continue building a safer and more informed society, one conversation at a time.🧡🤍✨

Get  •  Unite to End Digital Violence Against Women and Girls.As we mark the beginning of 16 Days of Activism Against Ge...
25/11/2025

Get • Unite to End Digital Violence Against Women and Girls.
As we mark the beginning of 16 Days of Activism Against Gender-Based Violence, ICCAO stands united with communities across Tanzania to demand a safer, more just digital space for every woman and girl.

Today, violence doesn’t only happen in physical spaces. It happens online—through cyberbullying, threats, non-consensual sharing of images, digital stalking, impersonation, online harassment, and the silencing of young women’s voices. Digital violence is real, harmful, and too often invisible.

At ICCAO, we believe that every girl deserves the freedom to learn, express herself, dream, and participate online without fear. Through our programs and digital platforms, we are committed to creating safer online environments and empowering communities with the knowledge and tools to protect themselves and others.

Let’s use this period not only to speak out, but to take action: report abuse, call out harmful behavior, support survivors, and educate those around us.

A safe digital world starts with all of us.

Nachagua kutokomeza ukatili dhidi ya watoto kwa mustakabali bora wa kizazi chetu.
06/12/2024

Nachagua kutokomeza ukatili dhidi ya watoto kwa mustakabali bora wa kizazi chetu.


" Nachagua kutokomeza ukatili kwa ajili ya jamii yenye haki na usawa.
04/12/2024

" Nachagua kutokomeza ukatili kwa ajili ya jamii yenye haki na usawa.

04/12/2024


Kaulimbiu ya mwaka huu ni “Mabadiliko Jumuishi kwa Mustakabali Endelevu”, ikilenga kutambua mchango wa watu wenye ulemav...
03/12/2024

Kaulimbiu ya mwaka huu ni “Mabadiliko Jumuishi kwa Mustakabali Endelevu”, ikilenga kutambua mchango wa watu wenye ulemavu katika kuendeleza jamii na kuhakikisha wanajumuishwa kikamilifu kwenye mipango ya maendeleo.





“As we approach the 30th anniversary of Beijing, we have an opportunity to reflect on progress achieved, confront ongoin...
25/11/2024

“As we approach the 30th anniversary of Beijing, we have an opportunity to reflect on progress achieved, confront ongoing challenges, and chart even more clear pathways, corresponding implementation modalities to fully realize our shared commitments.” - - United Nations Resident Coordinator Tanzania.

Tuna kila sababu ya kusherehekea mafanikio makubwa ambayo tumeyafikia. Wengi wetu leo tupo hapa sababu ya matunda ya Bei...
25/11/2024

Tuna kila sababu ya kusherehekea mafanikio makubwa ambayo tumeyafikia. Wengi wetu leo tupo hapa sababu ya matunda ya Beijing. Mathalani, WiLDAF ni zao la Beijing,ilizaliwa wakati wanawake wa Bara la Afrika wakijiandaa kwenda mkutano wa Beijing. Nafahamu taasisi nyingi tu ambazo zimezaliwa katika jitihada za vuguvugu la Beijing. Hivyo tuna kila sababu ya kusherehekea mafanikio makubwa ambayo yameweza kufikiwa wakati mama zetu na bibi zetu walipoona kuna haja ya kuwaita wakuu wa nchi na kusema nao umuhimu wa kuleta usawa wa kijinsia na haki za wanawake. Kwa hapa Tanzania tunajivunia zaidi kwani mbeba maono ya Beijing mama yetu Malkia wa Beijing Balozi Getrude Mongela ndie aliesimamisha dunia ili ielewe na kuchukua hatua stahiki kuleta usawa wa kijinsia. Na Bahati nzuri leo tunaye hapa. Tumepata bahati kubwa sana kuwa nae leo atuelezee walikuwa wanafikiria nini mwaka 1995? Je, waliyokuwa wanayatamani wameyaona?

Tunapoelekea kuadhimisha miaka 30 ya Tamko la Beijing, ni muhimu kutafakari  mafanikio yaliyopatikana, changamoto tunazo...
25/11/2024

Tunapoelekea kuadhimisha miaka 30 ya Tamko la Beijing, ni muhimu kutafakari mafanikio yaliyopatikana, changamoto tunazokutana nazo, katika safari yetu ya kufikia jamii yenye usawa isiyo na vitendo vyovyote vya ukatili dhidi ya wanawake na wasichana

Kauli Mbiu pia imebeba ujumbe wa kauli mbiu ya Kimataifa ambao ni Kuelekea miaka +30 ya Beijing. Tuungane Kuutokomeza Uk...
25/11/2024

Kauli Mbiu pia imebeba ujumbe wa kauli mbiu ya Kimataifa ambao ni Kuelekea miaka +30 ya Beijing. Tuungane Kuutokomeza Ukatili wa Kijinsia. K**a unavofahamu kufikia mwakani 2025 tutakuwa tumetimiza miaka 30 tangu maazimio makubwa 12 ya kimapinduzi ya kuleta usawa wa kijinsia yalipofikiwa na wakuu wa nchi zetu huko Beijing nchini China mwaka 1995. Miaka 30 ni mingi is not a joke! wengine humu ndani walikuwa hawajazaliwa.

Leo ni Siku muhimu sana kwetu sote katika kuianza safari ya Kampeni kubwa ya Siku 16 za Unaharakati Dhidi ya Ukatili wa ...
25/11/2024

Leo ni Siku muhimu sana kwetu sote katika kuianza safari ya Kampeni kubwa ya Siku 16 za Unaharakati Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia. Kauli mbiu ya kampeni mwaka huu inasema, "Kuelekea Miaka +30 ya Beijing: CHAGUA kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto."
Sisi wana MKUKI kwa kushirikiana na Serikali hususani Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum tuliamua kuja na kauli mbiu hii ili kubeba muktadha mzima wa nchi yetu. Tunafahamu kwamba ni kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na hivyo tuliona ni muhimu kuhamasisha Umma kufahamu kuwa wana mamlaka ya Kuchagua! Viongozi bora ambao hawavumilii ukatili wa kijinsia, lakini pia wana mamlaka ya kuchukua hatua kutokomeza vitendo vyote vya ukatili wa kijinsia.

Address

Mikocheni A Wildaf Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 16 Days Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category