Viwanja Gulio Expo

Viwanja Gulio Expo A marketplace where you can buy and sell surveyed or title deed plots.

Taarifa kwa umma !!
10/12/2021

Taarifa kwa umma !!

Happy Independence Day Tanzania 🇹🇿
09/12/2021

Happy Independence Day Tanzania 🇹🇿

Hivi unajua Tsh Milioni 1.5 inatosha kukuwezesha kumiliki kiwanja chako kilichopimwa na chenye hati?!  Tukutane Disemba ...
08/12/2021

Hivi unajua Tsh Milioni 1.5 inatosha kukuwezesha kumiliki kiwanja chako kilichopimwa na chenye hati?!

Tukutane Disemba 10-12 Mlimani City katika Viwanja Gulio Expo tumalize mwaka na ushindi.


Zimesalia siku 3 tu kuelekea katika Wikiendi ambayo itaweza kubadilisha maisha yako kwa kutimiza ndoto za kumiliki kiwan...
07/12/2021

Zimesalia siku 3 tu kuelekea katika Wikiendi ambayo itaweza kubadilisha maisha yako kwa kutimiza ndoto za kumiliki kiwanja.

Ni Viwanja Gulio Expo itakayofanyika wikiendi hii Mlimani City kuanzia Disemba 10 mpaka Disemba 12,2021.


We are getting closer and closer It’s only 4 days to go. Make your plan today.
06/12/2021

We are getting closer and closer

It’s only 4 days to go.
Make your plan today.


Ni siku sita zimebaki kuelekea Gulio kubwa la viwanja litakalofanyika Mlimani City kuanzia Disemba 10 mpaka Disemba 12,2...
04/12/2021

Ni siku sita zimebaki kuelekea Gulio kubwa la viwanja litakalofanyika Mlimani City kuanzia Disemba 10 mpaka Disemba 12,2021.

Unakosaje?!


Happy weekend to everyone 🎈
04/12/2021

Happy weekend to everyone 🎈

The countdown is on ⏳It’s only 7 days to go.
03/12/2021

The countdown is on ⏳

It’s only 7 days to go.


Je una maswali yoyote yanayokutatiza kuhusu Ardhi? Kupitia Viwanja Gulio Expo utapata majibu na elimu juu ya masuala yot...
30/11/2021

Je una maswali yoyote yanayokutatiza kuhusu Ardhi?
Kupitia Viwanja Gulio Expo utapata majibu na elimu juu ya masuala yote yahusuyo Ardhi.


Goli zuri la ushindi ni lile unalofunga dakika za mwisho. Huu mwaka hauwezi kuisha kinyonge wakati kiwanja chako kipo Vi...
27/11/2021

Goli zuri la ushindi ni lile unalofunga dakika za mwisho.
Huu mwaka hauwezi kuisha kinyonge wakati kiwanja chako kipo Viwanja Gulio Expo


25/11/2021

Viwanja Gulio Expo ni Gulio Kubwa linalohusisha Uuzaji na Ununuzi wa Viwanja Vilivyopangwa na Kupimwa, na litakukutanisha na Makampuni na Taasisi Zinazojihusisha na Ushauri na Upimaji wa Masuala ya Ardhi,Estate Agency,Land Developers,Architects,Quantity Surveyors,Mortgage Finance


Wataalamu wa masuala ya Ardhi watakuwepo katika Viwanja Gulio Expo kukufahamisha ni jinsi gani ya kubadili kiwanja chako...
24/11/2021

Wataalamu wa masuala ya Ardhi watakuwepo katika Viwanja Gulio Expo kukufahamisha ni jinsi gani ya kubadili kiwanja chako kutoka Makazi kwenda Biashara.


Address

Lugalo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwanja Gulio Expo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Viwanja Gulio Expo:

Share

Category