Tausi Viwanja

Tausi Viwanja Karibu Tausi Viwanja. Tuna viwanja vizuri kwa ajili ya makazi na biashara. WhatsApp/Call +2556952624

Soma hapa kwanza, kisha endelea kuperuzi habari nyingine mtandaoni.Naomba nikuulize, umewahi kutamani kumiliki ardhi au ...
02/01/2023

Soma hapa kwanza, kisha endelea kuperuzi habari nyingine mtandaoni.

Naomba nikuulize, umewahi kutamani kumiliki ardhi au kiwanja chako mwaka huu.

Sijawahi kuona eneo zuri la kununua viwanja k**a eneo hili la Mipeko.

Kuna viwanja vizuuuri vizuuuri mno.

Huduma zote za kijamii zipo. Yaani maji, umeme, usafiri, hospitali na shule.

Sehemu za kuuza vifaa vya ujenzi k**a tofali, cement, nondo na kadharika vipo huku huku tayari watu washafungua. Yani unanunua kiwanja na kuanza ujenzi

Na tayari watu wameshajenga.Hivyo utawakuta majirani zako huku huku.

Ukikosa viwanja hivi basi hutapata eneo saafi la makazi na biashara k**a hili.

Na bei ni nafuu saana tena unawezakulipia kwa awamu au ukalipa yote cash. mara moja

Ukiwa na milioni moja na laki 8 tu unamiliki kiwanja chako cha kujenga nyumba ya vyumba vitatu saafi kabisaa.

Narudia viwanja ni vizuri mnooo, viko eneo tambarare.

Kufika Mipeko (Unapita Uwanja wa Team ya Azam), kutoka Kariakoo au Temeke unapanda gari moja unashuka Mbande, kisha nipigie au WhatsApp namba +255695282624 twende site.

Usiseme hukona tangazo hili maana wiki ijayo halitakuwepo tena kwani vimebakia viwanja 27 tu kati ya viwanja 125.

Wahi sasa hivi uje kuchagua kiwanja chako.

Miliki Ardhi/Viwanja. Bei ni nafuu na viwanja ni vizuri mnooo.
02/01/2023

Miliki Ardhi/Viwanja. Bei ni nafuu na viwanja ni vizuri mnooo.

02/01/2023

Address

Chamazi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tausi Viwanja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category