Fimbo ya musa

Fimbo ya musa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fimbo ya musa, Legal, Frahusii, Dar es Salaam.

12/02/2022

Sisi ni wapitaji katika hii dunia hivyo tusijisahau itifaki zzingatiwe

17/01/2022

Imeandikwa Tutii AMRI KUU ZA .MUNGU.kwa nguvu zetu zote alafu na nini vile 👉👉👉

09/01/2022

MUNGU muumba mbingu na nchi. kaifanya kuwa NURU.na kisha Kanumba mengine na hatima kamuumba MWANADAMU. ndiye atakaye vyote kwa hakika tu wakubwa kuliko vyote DUNIANI.ila kwa sifa hiyo kubwa tusifike kujilinganisha na muumba wetu kwani kaya fanya hayo yote ni kwa sababu anatupenda sana .hakika hakuna k**a yeye.sote tuseme amen ,

Haikuwa rahisi kabisa ila kwa uwezo wa Mungu ametenda mpaka sisi sote kuwona mwaka mpya sote tuseme .ee mwenyezi MUNGU t...
31/12/2021

Haikuwa rahisi kabisa ila kwa uwezo wa Mungu ametenda mpaka sisi sote kuwona mwaka mpya sote tuseme .ee mwenyezi MUNGU tujalie maisha marefu yenye kumbukumbu nzuri

14/12/2021

Namshukuru Mungu kwa kunizawadia utashi mkubwa wa ufahamu kwa kuyatambua mema na mabaya hivyo namwomba azidi kunijalia kwa kila jambo ninalotaka tenda hapa duniani liwe lenye kumpendeza sote tuseme AMEN

Address

Frahusii
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fimbo ya musa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category