Msema ukweli

Msema ukweli Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Msema ukweli, Legal, Msema ukweli, Dar es Salaam.

07/07/2023

" akasema enyi Waheshimiwa ni nani kati yenu atakae niletea kiti chake cha enzi kabla hawajanijia nao wamekwisha salimu amri"
Surat an_naml 27:38
IJUMAA QAREEM

SOKA LA VIJANA KITETO
06/07/2023

SOKA LA VIJANA KITETO

04/07/2023

ALHAMDULILLAH

Wala usinihizi siku watakapofufuliwa siku ambayo haitafaa mali Wala Wana isipokuwa mwenye kuja kwa mwenyezimungu na moyo...
08/01/2023

Wala usinihizi siku watakapofufuliwa siku ambayo haitafaa mali Wala Wana isipokuwa mwenye kuja kwa mwenyezimungu na moyo uliosalimika (Surat shu 26 Aya 87-89
Maneno yanaathiri moyo hivyo tutake mioyo yetu ili tusalimike mbele za allha sisi na vizazi vyetu
Follow msema ukweli

Nakuja na historia ya Nxau Tom jina maarufu BUSHMEN follow msema ukweli
05/01/2023

Nakuja na historia ya Nxau Tom jina maarufu BUSHMEN follow msema ukweli

29/12/2022

Basi Yule bwana alipoona kanzu yake imechanwa kwa nyuma alisema hakika haya Ni katika vitimbi vyenu wanawake bila ya Shaka vitimbi vyenu Ni vikuu SURAT YUSUF

Serikali kiteto wekeni vyema na muwaonye wanachi was kiteto kwamba mipaka ya wakulima kwa haqi na ya wafugaji ili kusito...
29/12/2022

Serikali kiteto wekeni vyema na muwaonye wanachi was kiteto kwamba mipaka ya wakulima kwa haqi na ya wafugaji ili kusitokee machafuko ya mauaji na laana kiteto
la kukomesha mauji kiteto linaaza na Mimi na wewe

28/12/2022

Wakati tunaelekea kipindi kitukufu chaa kilimo viongozi wetu wa kiteto mfanye uadilifu kwa kuweka mipaka ya wakulima na wafugaji kwa haqi bila kupendelea upande wowote ili kuepusha matukio ya mauji

14/12/2022

'ukikupata wema unakuchukiza na ukikusibu msiba wao husema sisi tuliangalia mambo yetu vizuri tangu Kwanza na hugeuka kwenda zao na wamefurahi .Seema: halitusibu ila alilotuandikia mwenyezimungu yeye ndio mola wetu mlinzi na waumini wamtegee mwenyezimungu tu'
SURAT AT-TOUBA SURA YA 9:51

14/11/2022
Viongozi wetu Wana kiteto tunataka  vitambulisho vyetu vya nida hatutaki maelezo
31/10/2022

Viongozi wetu Wana kiteto tunataka vitambulisho vyetu vya nida hatutaki maelezo

28/10/2022

Address

Msema Ukweli
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msema ukweli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category