اهل البيت الرسول الله

اهل البيت الرسول الله Kikundi kitahusiana na kujifunza quran ani,hadithi na maamrisho mema ya watu wa nyumba ya mtume

%"I LOVE YOU MY FREND"%   "Siku moja         marafik tutatengana kutokana na sababu mbalmbal.  Tutakumbuka stor,utan na ...
01/08/2021

%"I LOVE YOU MY FREND"% "Siku moja marafik tutatengana kutokana na sababu mbalmbal.
Tutakumbuka stor,utan na kila kitu. Siku zitapita na kuwa miaka,lakin itakua adimu kujirudia tena.
Cku 1 watoto wetu watatazama picha zetu na kukuuliza,"Hawa walikua ni akina nani?"
Watakuumiza Moyo na macho yako yatajaa machoz na utawaambia "WALIKUWA MARAFIK ZANGU, Hawa Wa3 Wa Kushoto Ni Marehemu, Na Huyu Ni Mzee Na Wa Mwisho Sijui Hata Aliko.
Mimi kamwe sito kusahau rafik yangu ktk uhai wangu

29/07/2021
DUNIA ni siku 3"JANA"tumeishi na wala haitorudina "LEO"tunaish lakini haitodumuna "KESHO"hatujui tutakuwa wapi basi   MI...
21/07/2021

DUNIA ni siku 3
"JANA"
tumeishi na wala haitorudi

na "LEO"
tunaish lakini haitodumu
na "KESHO"
hatujui tutakuwa wapi basi MIKONO na SAMEHEANENI nakuwa mwema kwa %MUUMBA% wako kwani ~mimi na
~wewe na
~wao na
~wale ni
# watarajiwa

Nawatakia IDDY ***MUBAARAK

By #

21/07/2021

🙏🙏عيد المبارك 🙏🙏

🌹 #  YA MTUME # #🌹💐🌺Yeyote mwenye kuoa/kuolewa amekamilisha nusu ya dini,🌸💐🥥🍇Bas amche Mungu kwa nusu iliyobakia🍇🥥
08/11/2020

🌹 # YA MTUME # #🌹
💐🌺Yeyote mwenye kuoa/kuolewa amekamilisha nusu ya dini,🌸💐
🥥🍇Bas amche Mungu kwa nusu iliyobakia🍇🥥

 #  AL-IMAM JA'AFARI SWADIQ(A.S) # #Rakaa mbili anaeziswali akiwa na ndoa ni bora kuliko rakaa(70) anaeziswali asie na n...
07/11/2020

# AL-IMAM JA'AFARI SWADIQ(A.S) # #
Rakaa mbili anaeziswali akiwa na ndoa ni bora kuliko rakaa(70) anaeziswali asie na ndoa

 #  CLASS #Ipo hivi wanaekutukana na kukuona huna akili kisa umezaa ukiwa na umri mdogo achana nao kwaniMbona wao kila s...
07/11/2020

# CLASS #
Ipo hivi wanaekutukana na kukuona huna akili kisa umezaa ukiwa na umri mdogo achana nao kwani
Mbona wao kila siku wanakimbilia hospitali kutoa mimba jee kati yao nani hana akili????😬😬
Na wanaokudharau kwa kazi yako et wewe ni mfanya kazi wa ndani ,dobi,mfua nguo za watu na dharau kibaaoo achana nao kwani
Mbona wao mchana kutwa wanashinda kubadilisha wanaume ili na wengine wanajiuza miili yao jee ni nani hana akili 😬😬
# MWAMINI MUNGU MAJUNGU HUYAWEZI # #
🌸💐🌹ZUNGUMZA NA'ALIEKULETA DUNIANI ACHANA NA WALE ULIOWAKUTA DUNIANI🌸💐🌹

04/11/2020

Maulidi sio bidaa

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when اهل البيت الرسول الله posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category