hamismloka

hamismloka Legal Aid Services

09/08/2024
Twaamini katika jitihada za kufanya kazi kwa bidii, juhudi maarifa na vitendo na huku tukimuomba Mwingi wa Rehma atupati...
04/02/2023

Twaamini katika jitihada za kufanya kazi kwa bidii, juhudi maarifa na vitendo na huku tukimuomba Mwingi wa Rehma atupatie heri na Fanaka

08/10/2022

Sote kwa pamoja ni vyema tuhakikishe tunatetea na kulinda vipaumbele vya Taifa, Sera zenye kuzingatia Usawa, Sheria zisizo kandamizi juu ya Haki za Binadamu

Wajibu Mkubwa wa Taasisi zisizo za kiserikali siyo kugombana na serikali bali ni kuishauli serikali ni pamoja na kushiri...
08/10/2022

Wajibu Mkubwa wa Taasisi zisizo za kiserikali siyo kugombana na serikali bali ni kuishauli serikali ni pamoja na kushirikiana katika kupambana na uhalifu ikiwemo kuzuia vitendo vya utakatishaji fedha na kuzuia silaha za Maangamizi haramu.

Hatunabudi kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili tuweze kujenga Taifa imara lenye uzalendo
07/10/2022

Hatunabudi kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili tuweze kujenga Taifa imara lenye uzalendo

Migogoro hasi ya kikazi huchangiwa na baadhi ya maofisa wa umma wasio waadilifu, wanaotumiwa na waajiri wasiofuata sheri...
23/08/2022

Migogoro hasi ya kikazi huchangiwa na baadhi ya maofisa wa umma wasio waadilifu, wanaotumiwa na waajiri wasiofuata sheria kwa kuamini fedha hununua utu wa mtu na wengine wakiwa na imani kuwa ndugu zao wanaweza kupatiwa ajira.

Wadau mbalimbali hatunabudi kushirikiana vyema na serikali kuondoa watumishi wa namna hii.

14/07/2022
01/07/2022

Najivunia kuwa na maofisa wazalendo wenye kukubali kujitoa kwa dhati katika kuhakikisha jamii inapata huduma vyema za kisheria ni pamoja na Elimu za kisheria ili sote kwa pamoja tuweze kuwa na uelewa wa sheria zetu.

25/06/2022

Kazi ni Ibada ndivyo tulivyofunzwa hivyo ni muhimu tuzingatie na kutekeleza kikamilifu

24/06/2022

Hatunabudi kuendelea kuelimishana juu ya sheria zetu ili tujenge ngao ya Taifa lmara

22/06/2022

Tufanye kazi Kwa bidii na tulipe kodi kwa maendeleo ya Taifa

Address

Kigogo Kati
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when hamismloka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to hamismloka:

Share

Category