Viwanja vizuri

Viwanja vizuri Tunahusika na Upimaji wa viwanja , kuuza na kununua Viwanja , Nyumba, uchoraji wa Ramani za majengo

OFA OFA OFA KWA MILIONI 2 TU UNAMILIKI KIWANJA KILICHOPIMWA KWA AJILI YA MAKAZI NA BIASHARA. VIPO KIGAMBONI MWASONGA MTA...
20/01/2023

OFA OFA OFA KWA MILIONI 2 TU UNAMILIKI KIWANJA KILICHOPIMWA KWA AJILI YA MAKAZI NA BIASHARA. VIPO KIGAMBONI MWASONGA MTAA WA KICHANGANI, VIWANJA VINA UKUBWA WA MITA 42KWA12, BEI YA KILA KIWANJA MILIONI 2 MTEJA UNAWEZA KULIPA CASH AU NUSU MALIPO YANAYOBAKI UNAMALIZIA NDANI YA MIEZI MITATU, MIUNDO MBINU YA MAJI, BARABARA, UMEME, SHULE, HOSPITALI IMEKAMILIKA KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU 0659962452

TUNAKOPESHA VIWANJA KIBADA KIGAMBONIPIGA SIMU/WHASAP 0659 962 452Viwanja vimepimwa  na vinahatimilikiUkubwa: kuanzia squ...
14/01/2023

TUNAKOPESHA VIWANJA KIBADA KIGAMBONI
PIGA SIMU/WHASAP 0659 962 452
Viwanja vimepimwa na vinahatimiliki
Ukubwa: kuanzia square meter 334 - 500
mita 20kwa17 hadi mita 25kwa20. Bei poa ukiwa na miloni 12 unapata kiwanja. Bei ya square meter 1 tsh 37,000/=
Huduma: Maji, umeme, hospitali zipo
Umbali: kilometa 1 kutoka barabara ya lami kutoka feri Kilometa kilometa 9
Mkopo: Unalipa 70% inayobaki unamalizia ndani ya miezi 3. Safari za kupelekwa Kuona Viwanja ni kila siku na ni Bure kabisa.

Tunauza Hekari 400 Kigamboni Kimbiji0659962452 na 0689941074Acre 400 ni Beach plotBei Beach plot zake ni k**a hiviBeach ...
03/01/2023

Tunauza Hekari 400 Kigamboni Kimbiji
0659962452 na 0689941074
Acre 400 ni Beach plot
Bei Beach plot zake ni k**a hivi
Beach Namba 1 hekari 1 milion 70
Beach Namba 2 hekari 1 milion 40
Beach Namba 3 hekari 1 milion 30
Beach Namba 4 hekari 1 milion 6 kuanzia hekari 3

TUNAUZA VIWANJA VILIVYOPIMWA KIBADA KIGAMBONI CONTACT 0757667050 NA 0659962452Mradi huu upo Nyuma ya CRDB BANK KIBADA.Up...
27/12/2022

TUNAUZA VIWANJA VILIVYOPIMWA KIBADA KIGAMBONI CONTACT 0757667050 NA 0659962452
Mradi huu upo Nyuma ya CRDB BANK KIBADA.
Upo umbali wa kilometa 12 kutoka Feri kilometa 9 kutoka nyerere Bridge. Kilometa 1 kutoka barabara ya lami. Eneo liko karibu na huduma zote za kijamii k**a Umeme, Maji, hospital na barabara zimeshachongwa za mita 15-20.
Bei : Tsh 37,000/= kwa square meter 1 kwa installment unaanza na 50℅inayobaki unamalizia Ndani ya miezi mitatu.
Mita 20kwa15=Sqm 300 milioni 11 na Laki 1
Mita 20kwa20=Sqm 400 milioni 14 na Laki 8
VIWANJA HIVI NI MALI YA KAMPUNI HAVINA UDALALI.

TUNAKOPESHA VIWANJA KIBADA KIGAMBONIPIGA SIMU/WHASAP 0659 962 452Viwanja vimepimwa  na vinahatimilikiSize: kuanzia squar...
23/12/2022

TUNAKOPESHA VIWANJA KIBADA KIGAMBONI
PIGA SIMU/WHASAP 0659 962 452
Viwanja vimepimwa na vinahatimiliki
Size: kuanzia square meter 334 - 500 mita 20kwa17 hadi mita 25kwa20.
Bei : bei ya square meter 1 tsh 37,000/= bei ya chini ya kiwanja Tsh. Milioni 12. 5
Huduma: Maji, umeme, hospitali zipo
Umbali: kilometa 1 kutoka barabara ya lami kutoka feri Kilometa kilometa 9
Mkopo: Unalipa nusu inayobaki unamalizia ndani ya miezi 3. Safari za kupelekwa Kuona Viwanja ni kila siku..

19/12/2022

Nauza Viwanja Kata ya Kisarawe II Kigamboni mawasiliano 0659962452
Mita 10kwa10 milioni 1 , mita 15kwa10 milioni 1 Laki 5 ,mita 20kwa10 milioni 2 kuna Umeme ,Maji pamejengeka k**a Picha zinavyoonyesha eneo lilivyo vimebaki vichache wahi upate chako nipigie simu 0659962452

17/12/2022

Simu 0659 962452 na 0757 667050
Ofa ofa ofa ya mradi mpya uitwao Gezaulole Muongozo Dungu Farm Project. Mradi upo umbali wa kilometa 19 kutoka Feri, na Viwanja vipo karibu na Ofisi ya Mkuu wa wilaya Kigamboni mita 400 kutoka baharini na kilometa 1 kutoka barabara ya lami. Kuna huduma zote k**a maji, umeme, shule, hospital n.k Viwanja vimepimwa na vinatambalika serikarini, vina ukubwa wa mita za mraba 500 (mita25kwa20), 600, hadi 1000. Tunauza mita 1 ya mraba Tsh 18000/=. Malipo ni cash au kwa awamu unalipa nusu inayobaki unamalizia ndani ya miezi Mmoja.

PIA TUNA MIRADI KIGAMBONI SEHEMU ZIFUATAZO
Mwasonga bei ya Sqm 1 Tsh 5,000/=
Mwembe Mdogo Sqm 1 Tsh 10,000/=
Kisarawe II Kigogo bei Sqm 1 Tsh 18,000/=
Cheka Avic town Sqm 1 Tsh 25,000/=
Gezaulole club ya yanga Sqm 1 Tsh 25000/=
Kisarawe II magengeni bei Sqm 1 Tsh 27000/=
Kibada jirani na CRDB Sqm 1 Tsh 37,000/=
Ungindoni Kibada Sqm 1 Tsh 40,000/=

11/12/2022

Nyumba ipo chamazi mzambalauni Ina vyumba vitatu viwili masters sitting room dining room jiko na public toilet ipo mita 300 toka barabara ya lami Bei milioni 58 ofa inasikilizwa
0689941074 , 0659962452 , 0757667050

TUNAKOPESHA VIWANJA KISARAWE II KIGAMBONI JIRANI NA KIBADA. Viwanja vimepimwa kwa ukubwa tofauti tofauti. Mita 20kwa20 s...
10/12/2022

TUNAKOPESHA VIWANJA KISARAWE II KIGAMBONI JIRANI NA KIBADA. Viwanja vimepimwa kwa ukubwa tofauti tofauti. Mita 20kwa20 sawa na Sqm 400 na mita 30kwa20 sawa Sqm 600. Bei ya Sqm 1 tsh 27,000/= bei ya Sqm 400 milioni 10 na Laki 8. Malipo unalipa 70℅ inayobaki unamalizia Ndani ya miezi mitatu. Kwa maelezo zaidi piga 0659962452

Address

Daresalaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwanja vizuri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Viwanja vizuri:

Share

Category