PowiLink

PowiLink Faithfulness to our Clients

Wanangu mkumbuke kila JAMBO LINA WAKATI WAKE shika neno hili litakusaidia kuishinda tamaa ya wakati sio.
01/01/2025

Wanangu mkumbuke kila JAMBO LINA WAKATI WAKE shika neno hili litakusaidia kuishinda tamaa ya wakati sio.

Familia takatifu ni ile inayo mpendeza Mungu ni familia inayo fundisha uhusiano mzuri kati ya watu na ukuu wa Mungu kati...
06/04/2024

Familia takatifu ni ile inayo mpendeza Mungu ni familia inayo fundisha uhusiano mzuri kati ya watu na ukuu wa Mungu katika kumuabudu na kumtukuza.

Familia takatifu ni ile Mungu ameiunganisha na hakutakuwa wa kuitenganisha labda Kifo.

Familia takatifu ndio chanzo cha maarifa mazuri na Upendo kwa watu wote.

Familia takatifu ukumbuka kusali kufanya kazi na kusaidia wasio jiweza

Familia takatifu upendwa na Mungu kwa kupata baraka zake

Familia takatifu ni ile inayofundisha tabia njema na kukemea mambo maovu

Famila takatifu ujisikia furaha mezani wakati wa kula na upendelea kula pamoja bila kusaza.

Familia takatifu ni wakarimu kwa wageni na uwafundisha wageni juu ya habari njema na tabia njema.

Familia takatifu ni nyumbani kwa Mungu.

Jmosi iwe nzuri kwako.

📍Kwa mahitaji ya Maeneo karibu na Bahari (Beach plot) Kigamboni mji mwema  📍Upangishaji Nyumba popote dar es salaam bila...
06/02/2024

📍Kwa mahitaji ya Maeneo karibu na Bahari (Beach plot) Kigamboni mji mwema

📍Upangishaji Nyumba popote dar es salaam bila udalali
📍Gowdon kurasini
📍Nyumba ya kununua
📍Viwanja vilivyopimwa na vyenye hati miliki.
📍Mashamba chalinze PINGO karibu na kiwanda cha tiles.

Wasiliana nasi: 0687 816 840

Hakuna Tozo ya udalali..

powilink Uadilifu kwa wateja wetu

  YA _UDALALI
21/01/2024

YA _UDALALI

PowiLink Ujenzi Bora wa Nyumba za Kisasa
19/08/2022

PowiLink Ujenzi Bora wa Nyumba za Kisasa

PowiLink na Marafiki
12/08/2022

PowiLink na Marafiki

Fundi wetu Hosea akiwa Site Madale.Kwa mahitaji ya Ujenzi wa Nyumba yako.Ili kumpata Fundi Hosea piga namba             ...
27/07/2022

Fundi wetu Hosea akiwa Site
Madale.

Kwa mahitaji ya Ujenzi wa Nyumba yako.
Ili kumpata Fundi Hosea piga namba 0687 816 840

NYUMBA NZURI NA IMARA INAUZWA MILION 30 IPO CHAMANZI KWA MAPUNDA.0687 816 840 KWA MAELEZO ZAIDI
14/07/2022

NYUMBA NZURI NA IMARA INAUZWA MILION 30

IPO CHAMANZI KWA MAPUNDA.

0687 816 840 KWA MAELEZO ZAIDI

UWANJA UNAUZWA LAKI 8 TU.KIGAMBONI SONGANI TUNDWI UKUBWA FUTI 20 KWA 20NJIA YA KUFIKA UNAWEZA KUPITA UPANDE WA MBAGALA V...
10/07/2022

UWANJA UNAUZWA LAKI 8 TU.

KIGAMBONI SONGANI TUNDWI

UKUBWA FUTI 20 KWA 20

NJIA YA KUFIKA UNAWEZA KUPITA UPANDE WA MBAGALA VIKINDU NJIA PANDA YA MALELA

DALADALA 2000/= KUTOKEA VIKINDU.

AU UKAPITA MWASONGA KUTOKEA KIBADA PIKIPIKI ELFU 5.
MAZINGIRA NI MAZURI VIWANJA NI TAMBARALE

HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO.

HOSPITAL,UMEME,MAJI,SHULE NA SOKO.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0687 816 840

chaguo Lako sahihi.

Hello Wateja wetuLeo tunamtambulisha wakala wetu wa kwanza Mr Hosea ambaye ni Fundi ujenzi wa nyumba za Aina yote msoma ...
10/07/2022

Hello Wateja wetu

Leo tunamtambulisha wakala wetu wa kwanza Mr Hosea ambaye ni Fundi ujenzi wa nyumba za Aina yote msoma ramani mzuri wa nyumba za kisasa anauzoefu mkubwa wa ujenzi wa nyumba Dar es salaam na nje ya Dar es Salaam

Fundi Hosea ni mwaminifu,muadilifu, mwenye hofu na Mungu anatoa ushauri mzuri katika KAZI zake,msikuvu na nimchapa KAZI.

Fundi Hosea ni wakala wetu wa Uuzaji viwanja,Nyumba na kupangisha Nyumba

Wasiliana nae Kwa 0687 816 840.

WhatsApp 0687 816 840

08/07/2022

ENEO LINAUZWA MILIONI 45

LIPO KIGAMBONI CHEKA LINAUKUBWA

WA EKARI MOJA

ENEO LINA HATI YA UMILIKI.

MAUZIANO YATASIMAMIWA NA WANASHERIA

PAMOJA NA SERIKALI YA KIJIJI.

MAWASILIANO: 0687 816 840

Address

One Stop Center
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255687816840

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PowiLink posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category