14/02/2025
ππBack in high school, I was very poor in maths during exams nilikua napata Kati ya 3% na 10%π. The results used to be announced from the lowest marks to the highest marks,, so nilikua wa kwanza ama wa pili kuitwaπ alafu napokea viboko kadhaa k**a 56hivi nakausha tu π.
So one day the maths results were announced and my name wasn't among the first to be called π€π€...so mwalimu anaendelea 30%, 40%, 50%, 60%, 70% bado jina langu halikuitwa, kila mtu kwa class akaniangaliaπ,, wanauliza "umepitaje huu mtihani?"π,nikasmile nikasema " Ni mungu tu" just God πby the time alifika 80% I was already grinning in excitement. Wakati alifika 90% alikuwa amebaki na paper moja tu nikajua ni mimiππ,, saa mungu amejibu maombi na ndoto yangu ya kupita maths imetimiaπ,, class mzima walishangaa na kuniangalia π,, finally mwalimu akaangalia juu na kusema.
"One idiot did not write his name and he scored 0% come here". l just fainted πππ
Usisahau ku follow my page for more stories.