30/10/2023
Mwenye kuipenda dunia ipitapo gari nzuri,, msichana mrembo,, ndege,,au mali nyingi, husema ipo siku nitavimiliki,,na ipitapo jeneza au mtu akiaga dunia ndo hukimbilia kupiga picha na ku post mitandaoni,, subhannallah,,tusijisahau kiasi hicho,, kwani ipo siku pia yadunia tutayaacha,,kwa ALLAH tutarejea,,yaani one day tutapostiwa pia. Mpende ALLAH kwa vitendo na wingi wa ibada,, that's the only key to the better tomorrow. Have a blessed day.