03/08/2025
Nilikua na Dem akanishow twende kwao kufika kwao kupatana na bro wake kumbe ni ule kijana tulikua tuna pigania Dem kupatana na sis yake niule ex wangu kupatana na baba yake niule daktari alikua ananiambia kutoa madem boll SI vizuri kupatana na mama yake ni ule sugar mamy alinibaia gari last week