JinotyPeraminho

JinotyPeraminho JINOTY Peraminho

09/03/2022

FAIDIKA NAMAWAIZA By JINOTY ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kanuni ๐Ÿ“– ya Halakat โœ๏ธ 0679359327

04/03/2022

*FIQH YA SAUMU.*
(Sehemu Ya 4)

*FAIDA ZA UCHAMUNGU.*
Nitaelezea kwa muhtasari tu fadhila anazopata mtu kwa kumcha Mwenyezi Mungu Alietukuka, fadhila hizo ni pamoja na mtu kuepushwa na mabalaa, kufundishwa elimu, kufutiwa madhambi na kusamehewa makosa, k**a ifuatavyo:

*Kutokana na kila dhiki.*
Mwenye kumkhofu Mola Mtukufu, akazishika amri zake, na akajitenga na makatazo yake, basi humjaalia njia ya kutokana na kila dhiki na balaa itakayompata. Anasema Allah Alietukuka:
๏ดฟูˆู…ูŽู† ูŠูŽุชู‘ูŽู‚ู ุงู„ู„ู‡ ูŠุฌุนู„ ู„ู‡ ู…ุฎุฑูŽุฌุงู‹๏ดพ.
โ€œNa anayemuogopa Mwenyezi Mungu, (Mwenyezi Mungu) humtengenezea njia ya kuokoka (katika balaa). Na humpa riziki kwa namna asiotazamiaโ€ .

*Kuruzukiwa riziki kwa njia asioitegemea.*
Mwenye kumcha Mwenyezi Mungu basi atamtengezea njia na sababu za kuipatia riziki yake kwa njia na sababu ambazo yeye hakuzifikiria, na wala hakuzitegemea. Anasema Allah Alietukuka:
๏ดฟูˆ ูŠุฑุฒูู‚ู‡ู ู…ูู† ุญูŠุซ ู„ุง ูŠุญุชุณุจ๏ดพ.
โ€œ(Na anayemuogopa Mwenyezi Mungu)โ€ฆ.. Na humpa riziki kwa namna asiotazamiaโ€.

*Kufanyiwa mambo yake kuwa mepesi.*
Mwenye kumcha Mwenyezi Mungu Alietukuka basi atamrahishishia mambo yake, na kuona kila jambo litakalomsibu ni jepesi kwake. Anasema Allah Alietukuka:
๏ดฟูˆูŽู…ูŽู† ูŠูŽุชู‘ูŽู‚ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ูŽ ูŠูŽุฌู’ุนูŽู„ ู„ู‘ูŽู‡ู ู…ูู†ู’ ุฃูŽู…ู’ุฑูู‡ู ูŠูุณู’ุฑุงู‹๏ดพ.
โ€œNa anaye mcha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu humfanyia mambo yake kuwa mepesiโ€.

*Kupewa upambanuzi na kusamehewa madhambi.*
Ikiwa mtu atamcha Mwenyezi Mungu, basi Mola Alietukuka atampa utambuzi wa kutambua yale yaliyo ya batili miongoni mwa yale yaliyo ya kheri, na itakuwa ndio sababu ya kufutiwa madhambi yake. Anasema Allah Alietukuka:
๏ดฟุฅู† ุชูŽุชู‘ูŽู‚ููˆุงู’ ุงู„ู„ู‡ ูŠูŽุฌู’ุนูŽู„ ู„ู‘ูŽูƒูู… ููุฑู’ู‚ูŽุงู†ุงู‹ ูˆูŽ ูŠููƒูŽูู‘ูุฑู’ ุนูŽู†ูƒูู…ู’ ุณูŽูŠู‘ูุฆูŽุงุชููƒูู…ู’ ูˆูŽูŠูŽุบู’ููุฑู’ ู„ูŽูƒูู…ู’ ูˆูŽุงู’ู„ู„ู‡ู ุฐููˆ ุงู’ู„ู’ููŽุถู’ู„ู ุงู’ู„ู’ุนูŽุธููŠู…ู๏ดพ.
โ€œMkimcha Mwenyezi Mungu atakupeni tamyizi ya (upambanuzi) kupambanua baina ya haki na batili, na atakufutieni makosa yenu, na kukusameheni. Na Mwenyezi Mungu ni mwenye fadhila kubwa sanaโ€.
Kasema Abu Huraira Radhia Llahu Anhu aliulizwa Mtume Sallallahu Alayhi Wassallam:
ู…ูŽู†ู’ ุฃูŽูƒู’ุฑูŽู…ู ุงู„ู†ู‘ูŽุงุณู.
โ€œJee ni mtu gani mwenye heshima na taadhima,โ€ Akajibu akasema, โ€œ
ุฃูŽุชู’ู‚ูŽุงู‡ูู…ู’.
โ€œYule anaemcha Mwenyezi Mungu zaidiโ€.
ใ€ฐ๏ธใ€ฐ๏ธใ€ฐ๏ธใ€ฐ๏ธใ€ฐ๏ธใ€ฐ๏ธใ€ฐ๏ธใ€ฐ๏ธ
๐•€๐•ž๐•–๐•’๐•Ÿ๐••๐•’๐•๐•š๐•จ๐•’ โ„•๐•’ ๐•‚๐•ฆ๐•—๐•š๐•œ๐•š๐•ค๐•™๐•จ๐•’:
Faidika Na Mawaidha.
๐—๐—ถ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฒ ๐—จ๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ๐—ธ๐—ฒ.
+255759801338
+255655559911
+96897822520

21/02/2022

PATASOMO KUHUSU NDOA ITAKUFAA USPUUZIE

12/02/2022

MTOT ALIE WAKOSHA WATU๐Ÿค—๐Ÿค—โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ
KWAMAHABBA

11/02/2022

*โ€๐ŸŒพโ›…ุชู„ุงูˆุฉ ุตุจุงุญูŠุฉโ›…๐ŸŒพ*
*๐Ÿ•ŒKisomo Kila Asubuhi๐Ÿ•Œ*
*๐Ÿ“– SURATUL-MURSALAT*
*๐Ÿ‘ค Sh YASIR DOSARY*
โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž– โž–
Imeandaliwa Na Kufikishw :
*FaidikaNaMawaidha.*
Jiunge Ufaidike.
+255759801338
+255655559911
+96897822520
https://chat.whatsapp.com/CEvzYIfnRZM58dSgHwnVOj
*LINK HII NI KWA AJILI YA GROUP YA WANAWAKE TU*

11/02/2022

K**a haujui huu mwez gan
Agalia Video hii๐Ÿ‘†๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—

28/01/2022


KUHUSU MALEZI YA WATOT
ONAHII๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† Utapenda

21/01/2022

Dk Julia's nyerere MANENO YAKE

13/01/2022

KWAAJILI YAKO ELIMIKA HAPA
BY

13/01/2022

ASSANTE MNGU KWAYOTE WAMETOKA SALAMA๐Ÿ™‡โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™‡โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

11/01/2022

JIFUNZE KITU HAPA ITAKUFAA๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

07/01/2022

MNATAKA TUSAPOT HATAUJINGA ๐Ÿ˜’

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JinotyPeraminho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share