Rungwe Legal and Social Welfare Organization

Rungwe Legal and Social Welfare Organization A 100% non profit organization aiming to empower the local and economically unable community in Tanzania mainland. Providing Legal education and Aid.

Law week in Rungwe District.Legal Education and Legal Aid was provided fully
03/02/2024

Law week in Rungwe District.
Legal Education and Legal Aid was provided fully

Wasaidizi wa Kisheria Mkoa wa Mbeya tutakuwa na msafara (Caravan) wa Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia kuanzia Mbey...
24/11/2023

Wasaidizi wa Kisheria Mkoa wa Mbeya tutakuwa na msafara (Caravan) wa Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia kuanzia Mbeya mjini Hadi Kyela Matema
*_Wekeza kuzuia Ukatili wa Kijinsia _*

Legal Services Facility Tanzania
Tanzania Network of Legal Aid Providers
Southern Highlands Paralegal Southern Highlands Paralegal Organization-SOHIPO:Southern Highlands Paralegal Organization-SOHIPO:
Mbalizi Paralegal
Wizara ya Katiba na Sheria
Wizara Maendeleo Ya Jamii

Wasaidizi wa Kisheria wa RLSWO Leo wakiwa stend ya magari ya Abiria Rungwe Tukuyu wakiongea na madereva na kuwaelewesha ...
24/11/2023

Wasaidizi wa Kisheria wa RLSWO Leo wakiwa stend ya magari ya Abiria Rungwe Tukuyu wakiongea na madereva na kuwaelewesha juu ya hizo siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia na msafara utakapoanzia Mbeya Hadi Kyela Matema

Usajili sasa umefunguliwa!Legal Services Facility (LSF) kwa kushirikiana na Taasisi ya Smile for Community (S4C) rasmi t...
06/05/2023

Usajili sasa umefunguliwa!

Legal Services Facility (LSF) kwa kushirikiana na Taasisi ya Smile for Community (S4C) rasmi tumezindua usajili wa kushiriki mbio za 'Run for Binti Marathon 2023'.

Jisajili sasa ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ
https://forms.gle/TRZUVVZgLWbZQxEd7


About the Run for Binti Marathon The Legal Services Facility (LSF) in partnership with Smile for Community (S4C) has organized the Run For Binti Marathon to be held on the 2nd of July 2023, with the starting point being The Green Grounds Oysterbay, Dar es Salaam, Tanzania. This run is part of the Wo...

*JISAJILI RUN FOR BINTI MARATHON 2023*Legal Services Facility (LSF) kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali la ...
06/05/2023

*JISAJILI RUN FOR BINTI MARATHON 2023*

Legal Services Facility (LSF) kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali la Smile for Community (S4C) linalohudumia jamii kuhusu masuala ya hedhi salama, haki ya afya ya uzazi, mazingira na kuinua wanawake na watoto wa k**e kiuchumi, kijamii na kupinga vitendo vya ukatili, rasmi tumezindua usajili wa kushiriki za 'RUN FOR BINTI MARATHON 2023'.

Mbio za RUN FOR BINTI MARATHON 2023 zinalenga kukusanya rasilimali fedha kwa ajili ya kuwezesha watoto wa k**e kupata taulo za k**e ili kuboresha upatikanaji wa haki ya afya ya uzazi hususani hedhi salama na safi pamoja na kuboresha mazingira bora na rafiki katika sekta ya elimu kwa mtoto wa k**e yatakayomuwezesha kupata hedhi iliyo salama kupitia ujenzi wa miundombinu bora hususani vyoo.

Sambamba na hilo mbio hizi ni sehemu ya mkakati wa kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuwezesha vikundi vya wanawake vya kiuchumi kwa kuwapatia mashine na vitambaa maalumu vitakavyowawezesha kushona s**o (taulo za k**e) na kuziuza kwa bei nafuu kwenye shule mbalimbali ili kujiinua kiuchumi.

Naomba wadau wote wa LSF kuwa sehemu ya mbio hizi na kampeni hii muhimu katika jamii. Hivyo mnaombwa kujisajili kupitia link hii: https://forms.gle/TRZUVVZgLWbZQxEd7. Lakini pia mnaombwa kusambaza matangazo haya katika mitandao yenu ya kijamii ili ujumbe uweze kuwafikia watu wengi zaidi.

Asanteni!

*Imetolewa na;*
*Idara ya Mawasiliano,*
*Legal Services Facility (LSF),*
*Makao Makuu, Dar es Salaam.*
*6 Mei 2023.*

08/04/2023

Wasaidizi wa Kisheria Rungwe Legal and Social Welfare Organization wakitoa Elimu ya Kisheria na ya Ujasiriamali Kwa wanufaika wa TASAF Kata ya Bujela



05/04/2023
03/04/2023

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mji uliotakiwa kuuzwa na Benki baada ya baba mwenye nyumba kukopa Benki na kutoroka Kwa kuitelekeza familia, wakombolewa...
31/03/2023

Mji uliotakiwa kuuzwa na Benki baada ya baba mwenye nyumba kukopa Benki na kutoroka Kwa kuitelekeza familia, wakombolewa na mwanamke (Mke) akisaidiwa na Wasaidizi wa Kisheria (Paralegals) wa RLSWO




TEKU k**a ZMO kwenye Mradi wa Ufikiaji Haki kwenye Jamii wakiwa katika ofisi zetu kwaajili ya ukusanyaji wa taarifa za a...
25/03/2023

TEKU k**a ZMO kwenye Mradi wa Ufikiaji Haki kwenye Jamii wakiwa katika ofisi zetu kwaajili ya ukusanyaji wa taarifa za awali kabla hawajaanza rasmi kazi zao.



WEO Kiwira Cmrd Noel Mng'ong'o alipotembelea ofisini hapa kujua maendeleo na utendaji kazi wa taasis
25/03/2023

WEO Kiwira Cmrd Noel Mng'ong'o alipotembelea ofisini hapa kujua maendeleo na utendaji kazi wa taasis

23/02/2023

โ€œWatu wanauliza mmewezaje kufanya kazi na Magereza, ? Kwakweli tunashukuru ujio wa Mradi wa Mwanamke Imara , kupitia mradi huu TANLAP imetuunganisha na wadau mbalimbali k**a Mahak**a ,Serikali na taasisi zake . Mahak**a imetuahidi jengo kwa ajili ya office na kutoa huduma zetu. โ€œMkurugenzi Shirika la Rungwe Legal and Social Welfare, Bi. Tumaini Kyejo

Address

Tukuyu Mjini
Tukuyu
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 14:00
Tuesday 09:00 - 14:00
Wednesday 09:00 - 14:00
Thursday 09:00 - 14:00
Friday 09:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rungwe Legal and Social Welfare Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rungwe Legal and Social Welfare Organization:

Share

Category