19/04/2023
*K**a una NDOTO kubwa kwenye maisha yako, lazima ITAJARIBIWA.*
π Wengine huwa inajaribiwa kwa KUCHELEWA...
π Wengine huwa inajaribiwa kwa KUTOELEWEKA...
π Wengine huwa inajaribiwa kwa KUFELI kila UNAPOJARIBU...
π Na wengine huwa inajaribiwa kwa KUTOPATA SAPOTI...
βοΈ Kwa vyovyote vile, utafikishwa kwenye kiwango cha KUKATA TAMAA...kwa sababu utakuwa unaona K**a vile HAUSOGEI...
βοΈ Watu wengi wakifika kwenye hali hii huwa wanaamua...KUPUNGUZA UKUBWA wa ndoto/malengo yao...
βοΈ Unaweza kuamua kufanya hivyo, ila MOYO wako HAUTARIDHIKA...kufanikiwa katika kitu KIDOGO chini ya kile ULICHOKITAKA...
*π― Usijaribu KUPUNGUZA UKUBWA WA NDOTO YAKO...bali unachotakiwa kufanya ni KUONGEZA UKUBWA WA IMANI YAKO.*
*π― Nakukumbusha kuwa UNAWEZA.*
*π― Nakukumbusha kuwa UNAYO NGUVU ya kufanikiwa.*