30/08/2025
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi, hususan mabinti, kupokea fedha kutoka kwa wapenzi wao kwa ajili ya nauli za kwenda kuwaona na badala yake wanaishia kula nauli na hawaendi. Je, umawahi kukutwa na hili? Je, hii imekaaje kisheria?
Katika makala iliyopo kwenye tovuti yetu tumeeleza juu ya tafsiri ya vitendo hivi kisheria. Tafadhali tembelea tovuti yetu kupitia kiungo kilichopo kwenye bio ili kusoma makala hii na nyinginezo.