Njombe Paralegal Centre

Njombe Paralegal Centre NJOPACE inatoa huduma za Msaada wa kisheria kuanzia jumatatu hadi ijumaa

NJOPACE ikiendelea kutoa elimu ya SHERIA kwenye makundi mbalimbali mkoani Njombe Halmashauri ya Mji Njombe kata ya Lwang...
30/04/2022

NJOPACE ikiendelea kutoa elimu ya SHERIA kwenye makundi mbalimbali mkoani Njombe Halmashauri ya Mji Njombe kata ya Lwangu, Njombe mjini kwenye mkutani na kanisani na kwenye mpira.

Elimu ya msaada wa kisheria ikiendelea kutolewa Njombe mkoani kwenye Uzinduzi wa Mwenge leo tarehe 02/04/2022 Njombe Viw...
02/04/2022

Elimu ya msaada wa kisheria ikiendelea kutolewa Njombe mkoani kwenye Uzinduzi wa Mwenge leo tarehe 02/04/2022 Njombe Viwanja vya sabasaba

Umoja ni nguvu hivyo Njombe paralegal centre tumeungana katika kuhakikisha jamii inapata elimu ya Msaada wa kisheria Pam...
01/04/2022

Umoja ni nguvu hivyo Njombe paralegal centre tumeungana katika kuhakikisha jamii inapata elimu ya Msaada wa kisheria Pamoja na Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kanda ya Iringa ambayo inaunganisha Njombe na Iringa (Iringa Chapter)

Elimu hii tunatoa kea watu Viwanja vya sabasaba mkoani Njombe ambako maandalizi ya Mwenge kuzinduliwa mnamo kesho tarehe 02/04/2022. Karibuni sana Njombe tuwashe Mwenge kea Pamoja na tuhudumie jamii hususani Msaada wa kisheria.

NJOmBE PARALEGAL CENTRE NJOPACE. Wakiendelea kutoa elimu kwenye maandalizi ya Uzinduzi wa kuwasha Mwenge kwenye Viwanja ...
01/04/2022

NJOmBE PARALEGAL CENTRE NJOPACE. Wakiendelea kutoa elimu kwenye maandalizi ya Uzinduzi wa kuwasha Mwenge kwenye Viwanja vya sabasaba mkoani Njombe karibuni sana

25/03/2022

Address

Kata Ya Mjimwema Mtaa Wa Mpechi
Njombe

Telephone

+255759601915

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njombe Paralegal Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Njombe Paralegal Centre:

Share

Category