Dokta lee

Dokta lee Each motivation

Stake highly 😋
08/07/2025

Stake highly 😋

Wananchi wakiwa tayari wamewasili Mauritania, Jumapili hii watakuwa Stade de la Capitale kukipiga na Al Hilal SC.Mechi h...
10/01/2025

Wananchi wakiwa tayari wamewasili Mauritania, Jumapili hii watakuwa Stade de la Capitale kukipiga na Al Hilal SC.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

Jumapili hii Mnyama atakuwa dimba la ugenini nchini Angola kupambana na Bravos katika mechi muhimu inayoweza kuipeleka S...
10/01/2025

Jumapili hii Mnyama atakuwa dimba la ugenini nchini Angola kupambana na Bravos katika mechi muhimu inayoweza kuipeleka Simba robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

Mnyama ana rekodi nzuri Angola, ataweza safari hii?

Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara AzamSports1HD.

📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Winga Amad Diallo (22) raia wa Ivory Coast amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Manche...
10/01/2025

📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Winga Amad Diallo (22) raia wa Ivory Coast amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Manchester United hadi Juni 2030.

"Nimekuwa na nyakati za ajabu na Man United tayari, lakini kuna mengi zaidi yanayokuja. Nina malengo makubwa katika mchezo huu." ——imesema Amad 'Ivorian Messi' k**a wanavyomuita baada ya kusaini mkataba huo.

KOCHA IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI“Yanga inawachezaji wazuri sana ambao wanaweza kucheza timu yoyote ...
10/01/2025

KOCHA IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI

“Yanga inawachezaji wazuri sana ambao wanaweza kucheza timu yoyote hapa Africa, unapoenda kukutana na timu k**a hiyo lazima ujipange kukukabiliana naamini Yanga Wataenda Robo Fainali,”
“Nawajua Yanga wanacheza Kwa Malengo Makubwa Ndoto Yao Ni Kubeba Ubingwa Wa Afrika Naamini Wataenda Robo Fainali Wanakocha Mzuri Na Kikosi Kizuri

FRORIENT IBENGE, Kocha Mkuu wa Klabu ya Al Hilal.

ALL about FOOTBALL.... De bruyne
24/11/2024

ALL about FOOTBALL.... De bruyne

16/11/2024
15/11/2024

Technology una lipi la kusema

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dokta lee posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Law Practice?

Share