02/03/2023
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Ec2TOVLl2sU87eyAnBCsWi Jina la group:
KUTANA NA WANASHERIA WA MONDULI LIVE.
Group litazungumzia maswala ya Kiuchumi, Kijamii Na Kisiasa
Kauli mbiu yetu “Elimika, jitambue, Fahamu haki zako k**a raia wa Tanzania, Kuwa sehemu ya mabadiliko, Komboa jamii yako,Fanya maamuzi sahihi, Kataa rushwa, Tambua furusa zinazojitokeza”
*Sheria za Group hili*
(i) Mwanagrupu awe Raia wa Tanzania (sana sana Monduli).
(ii) Mwanagrupu awe tayari kujifuza na kufundisha wezake kwa anayoyajua.
(iii) Awe mtu mzima mwenye maoni na maamuzi ya busara.
(iv) Aheshimu wanagrupu wote, Aheshimu hoja na mawazo ya mtu mwingine.
(V) Awe tayari kukosolewa.
(Vi) Mwanagrupu Haruhusiwi kutumia lugha yoyote ya matusi au lugha za mtaani.
(Vii) Picha zinazoenda kinyume na Maadili ya Watanzania haitaruhusiwa kabisa.
(Viii) Ustaarabu kwenye group ni kitu cha msingi sana (18+).
(ix) Sheria za mitandao zitatumika pale inapobidi {CYBER CRIME ACT AND ELECTRONIC ACT}.
(x) Addmin anamamlaka ya kukuchukulia hatua ndogo za kinidhamu k**a kukutoa kwenye Group na kuendelea.
(xi) Group linatambua usawa wa kijinsia.
(xii) Mwanagrupu atakuwa huru kuuliza chochote ambacho angependa kujua, Kuleta mada yoyote mezani nk.
Upatapo link hii sambaza kadri uwezavyo:
ONYO: Ukiingia kwenye Group hili tayari umekubali kufata sheria za Group na ukotayari kuwajibishwa ukikosea lolote. (Asses Yourself as much as possible before make Decisions of JOIN THIS GROUP only for people who are serious)
WhatsApp Group Invite