Jacque & Associates Consultancy Firm

Jacque & Associates Consultancy Firm We are a Legal Consultancy firm that renders professional and efficient fairly priced legal services

23/08/2020

*Kusajili Kampuni au jina la biashara BRELA*

*KUTOKA JACQUE & ASSOCIATES CONSULTANCY FIRM*

*Inaandikwa na Managing Director JACQUELINE SWAI*

JACQUE & ASSOCIATES CONSULTANCY FIRM inatoa huduma ya kuandaa nyaraka za usajili wa kampuni, Pia tunawezesha usajili wa Kampuni au jina la biashara yako.

Huduma hii inatolewa kwa Gharama nafuu sana. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0755161979 au fika katika ofisi zetu zilizoko HIMO-MOSHI karibu na Bank ya NMB.

*Zijue Faida za kusajili Kampuni na kuendesha biashara yako kwa mfumo wa kampuni;*
1.Kufanya biashara yako kutambulika rasmi kisheria.

2.Itakuwezesha kupata fursa za kufanya biashara na taasisi za serikali k**a vile kuomba tenda serikalini na kwenye Halmashauri za wilaya manispaa na majiji.

3.Pia biashara yako ikisajiliwa unaweza kupanua mtaji wako kwa kuingia ubia na makampuni ya nje na ya ndani kwani itakuongezea hali ya kuaminika.

4. Ukifanya biashara zako k**a kampuni una nafasi kubwa sana ya kupata kazi, yaani ''contract au tenda'' na makampuni mengine, kwa kuwa makampuni mengi yanapenda kufanya kazi na makampuni na sio watu binafsi tu.

5. K**a una wazo la kutafuta wafadhili wa biashara yako, unapokuwa umesajili kampuni yako unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupata ushirikiano na hao walengwa wako kwa haraka zaidi maana wanakuwa wanaongea na kampuni na sio mtu binafsi.

6. Unapofanya biashara zako k**a kampuni una nafasi ya kulipa kodi ndogo zaidi ya mtu anayefanya biashara k**a mtu binafsi. Hii ni kwa sababu kampuni inaruhusiwa kutoa matumizi yake yote uliyoyapata kuendeshea biashara zako, yaani baada ya kufanya mauzo yako yote basi utatoa matumizi yote yaliyohusika na kile kitakacho baki k**a faida ndiyo kitalipiwa kodi. Lakini mtu anayefanya biashara k**a mtu binafsi analipa kodi kutokana na mauzo aliyoyafanya na sio faida aliyoipata mwisho wa siku.

7. Unapofanya biashara zako k**a kampuni, unajipa nafasi ya kutofautisha mali zako binafsi na mali za kampuni yako. Hii itakusaidia pale ambapo imetokea kampuni yako inadaiwa, basi deni hilo halitafika kwenye mali zako binafsi ambazo hazimilikiwi na kampuni. Unapofanya biashara k**a mtu binafsi na ikatokea biashara yako inadaiwa basi deni hilo litahusisha mpaka mali zako binafsi.

8. Ukiwa na kampuni unaweza fanya biashara zaidi ya moja chini ya hiyo kampuni. Unafanya hivyo kwa kukatia leseni za biashara tofauti tofauti chini ya hiyo kampuni moja. Kitu cha kuzingatia hapo ni jina la kampuni ambalo halitapendelea shuguli yoyote. Mfano mzuri ni ABC Company Limited badala ya ABC Transporation Company Limited, kwa maana transporation itakuwa ni moja wapo ya shuguli za hiyo kampuni pamoja na zinginezo.

9. Ukiwa na kampuni ni rahisi kumrithisha ndugu yako, mtoto wako au mtu wako wa karibu hizo biashara zako kupitia hiyo kampuni yako. Ukiwa unafanya biashara k**a mtu binafsi inamaanisha wewe ndiyo mmiliki pekee wa hiyo biashara, yaani hautaweza kummilikisha mtu mwingine.

*K**a una wazo la kufanya biashara Tanzania na ungependa kumiliki kampuni yako au jina la biashara, JACQUE & ASSOCIATES CONSULTANCY FIRM ipo kwa ajili yako,* Huduma yetu ni kukusaidia kufanikisha zoezi zima la usajili wa kampuni au jina la Biashara, Msimu huu wa sikukuu ya nanenane Tuna ofa kubwa sana ya punguzo la bei kwa Huduma yetu hii, Piga simu au Tucheki WhatsApp 0755161979 kupata maelezo zaidi, Fanya mpango ujisajili ili kupata fursa za kibiashara na kuweza kukopesheka. karibu JACQUE & ASSOCIATES CONSULTANCY FIRM

*Gharama zetu za kazi nzima pamoja na malipo ya BRELA ni Nafuu sana sana,Kwa wale ambao wanahitaji kufanya zoezi hili la usajili wa kampuni au jina la biashara usisite kuwasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo ili upate maelezo zaidi.*

*WASILIANA NASI*
*Telephone No: 0755161979*
*WHATSAPP :0755161979*
*E MAIL: [email protected]*
*Instagram: j_associatesconsultancyfirm*
*OUR EXPERIENCE AT YOUR SERVICE*

Address

Opposite NMB Bank Himo
Himo

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:30
Tuesday 08:30 - 16:30
Wednesday 08:30 - 16:30
Thursday 08:30 - 16:30
Friday 08:30 - 04:30

Telephone

+255755161979

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jacque & Associates Consultancy Firm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jacque & Associates Consultancy Firm:

Share

Category